Tujikumbushe Baba wa Taifa akielezea utawala wa Sheria na ushiriki wa umma ( public Participation) kama kigezo kimojawapo muhimu cha demokrasia. Hii yote ni misingi ya katiba yetu @Advocate_Jebra
Tujikumbushe Baba wa Taifa akielezea utawala wa Sheria na ushiriki wa umma ( public Participation) kama kigezo kimojawapo muhimu cha demokrasia. Hii yote ni misingi ya katiba yetu @Advocate_Jebra
profesa mussa assad, mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (2014 - 2019): “watu wengi katika serikali wamekuwa wakiishi katika namna ambayo kuna usiri mkubwa katika mambo yao, na hakuna anayetaka mambo yawe wazi.”
🎥: @adaboe_12:
‼️HABARI MBAYA KUTOKA ARUSHA‼️
Taarifa zinazotufikia hivi punde zinasema kuwa gari la Kanda ya Kaskazini aina ya Toyota Land Cruiser, lililowabeba makamanda wetu, akiwemo Katibu Mwenezi wa BAVICHA Taifa Felius Festo pamoja na baadhi ya viongozi wengine wamekamatwa walipokua wanaelekea Kikatiti kwenye Mkutano wa hadharani Makamu Mhe. @HecheJohn
Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Viongozi hao wapo Kituo cha Polisi cha Central, Arusha.
Mlioko Arusha mjini naomba mfike sasa hivi kuwasaidia makamanda wetu.
Damu zote hizi uzimwage halafu uishi tu na afya njema?
Kwamba familia zote hizi haziwezi omba na maombi yakajibiwa kwa HAKI ?
CCM pungunze kiburi mtakwisha na mtaokota makopo
Kwa nini amkujifunza kwa Salimin Amour ? alikuwa anajiita komanda huku anaumiza watu?
Leo anaishi vipi ?
MaCCM sasa yamehamisha nguvu kuaminisha wananchi kwamba MANGE si kitu tena kwenye hili taifa ila CHAWA WAO.
Wanatumia nguvu hiyo hiyo kuaminisha wananchi pia kuwa WANAHARAKATI hawalitakii mema hili taifa (HAWANA JEMA).
Kitu pekee ambacho nakijua watanzania tayari TUMEWABATIZA na kifikra washaondoka zama za GIZA, hizi nguvu mnazotumia haziwezi kufanya kazi.
Kwasasa mnaweza kujiona mpo salama sana na mbinu zenu zimefanikiwa ila kiukweli HAMPO SALAMA NA HAMTAKUJA KUWA SALAMA ni suala la MUDA TUU.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kuna TAARIFA kuwa Samia ANAELEKEA KUFA siku sio nyingi (YUPO HOI).
Kama umekuwa unafuatilia page ya SHANGAZI @MariaSTsehai kama week sasa amekuwa akisema sana MBONA haoneoani huyo mjane?
Jana ilikuwa 40 ya MUME wake huko Zanzibar, kwenye picha zote hajaoneoana kabisa, wanaonekana "Wake wenza tuu" na ABDULI takataka zake.
Leo PAGE ya MASISIEMU imepost video ya SAMIA ya zamani kama kutuliza PRESHA za wananchi kuendelea kuhoji yupo wapi huyu MALAYA?
Hii taarifa ni njema SANA binafsi nilitamani niambiwe KAFA kabisa nichome nyama ya MBUZI MZIMA bila sababu leo jumapili ya "Choma choma"😂
REPOST 200
Asilimia 90 ya ajali ni kwasababu ya miundombinu mibovu, barabara finyu, mashimo kila sehemu.
Maisha ya watu yanapotea, mali zinateketea kwasababu ya uzembe wa serikali ya ccm.
Wizi na ufisadi kwenye ujenzi na ukarabati wa barabara.
Leo wanajenga kesho imebomoka!!!!
#TANZANIA: WANANCHI MSIKUBALI MADINI YA RARE EARTH YAUZWE KWA MIKATABA MIOVU - HECHE
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Heche, amewataka wananchi kuungana kupinga usaini wa mikataba ya hovyo ya uchimbaji wa madini ya Rare Earth Elements, ambayo yameelezwa kuwa na thamani kubwa katika utengenezaji wa vifaa vya kielektroniki.
Heche amesema hayo wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanya vya shamba la bibi mjini Tarime na kueleza kuwa madini hayo ambayo hutumika kutengeneza vifaa kama betri za umeme, sumaku, runinga na vifaa vingine vya teknolojia, ni miongoni mwa madini 25 adimu yanayopatikana nchini Tanzania.
Amesema wananchi hawapaswi kukubali kuona rasilimali hiyo muhimu ikauzwa kwa maslahi ya watu wachache kupitia mikataba ambayo haina tija kwa taifa.
Aidha, Heche amemlaumu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kile alichodai ni kusaini mikataba ya ovyo ambayo, badala ya kuleta maendeleo, inachangia taifa kuendelea kudumaa kiuchumi na kuwaacha wananchi katika umaskini.
Amesisitiza kuwa ni wakati wa Watanzania kusimamia rasilimali zao na kuhakikisha mikataba yote ya madini inaleta manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi na vizazi vijavyo.
Katuga: Una malori yana operate nchini Kenya?
Heche: Sina malori
Katuga: Una magari ya bei mbaya?
Heche: Bei mbaya ni kiasi gani?
Katuga: Nakuonesha kadi hapa useme una magari mangapi?
Heche: Sasa humu kuna matrekta na mashine za shambani tatizo ni nini?
Repost
Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini.
Haramu: Jambo ambalo haliruhusiwi, ni marufuku, au ni kinyume cha sheria na taratibu zilizowekwa
Kinyume cha Halali ni Haramu.
Bwana Kabudi nyie mna uhalali gani? Nani aliewachagua?
Lissu anamuomba hiyo nakala ya hiyo kesi. Katuga anasema ipo mtandaoni. Lissu anamuuliza uko serious kweli mimi niko jela unasema uamuzi wa Mahakama uko mtandaoni? Jamaa wameenda kutafuta huo uamuzi. 😂
Mh. Tundu lissu 🔥🔥🔥
Repost bila kuchoka ✌️