‼️HUYU NDO OFISA USALAMA WA TAIFA AMBAE KAMTEKA JUNIOR JONATHAN‼️
Leo zimetimia siku 18 tangu, Junior Jonathan atekwe na watu wasiojulikana kwa amri Gwandise Jumanne Kelegele ambae ni ofisa wa Usalama wa Taifa kwasasa ni RSO wa Dar es salaam, lakini pia amewahi kufanyakazi Ikulu ya Magogoni.
Gwandise ni Baba Mzazi wa binti ambae anaitwa Ruiya Gwandise Kalegele,
Ruiya ni Mwanafunzi ambae anasoma Chuo cha IFM, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Junior Jonathan ambapo lakin kutokana na migogoro ya mara kwa mara kwenye mahusiano yao Junior akaamua kumwambia Ruiya kwamba anaomba waachane ili kila mtu afanye maisha yake lakin Ruiya hakuwa tayari kuachana na Junior .
Ruiya alimwambia Junior kwamba “Ukiniacha ndo utamjua Baba angu ni nani kwenye hii nchi”
Kweli baada ya kuachana hazikupita siku tatu, Agosti 27, 20206 Junior alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa maeneo ya Mapinga Bagamoyo wakamteka na kuondoka nae, hadi leo haijulikani yupo wapi.
Mama ake Junior alichukua hatua za kumpigia simu Ruiya ili kujua ni wapi kijana wake kapelekwa, Ruiya akasema kwamba hilo jambo lipo kwenye mikono ya wazazi wake na yeye kaambiwa asiongee chochote.
Familia ya Junior walifunga safari hadi Mbweni nyumbani kwa kina Ruiya, walimpigia magoti Baba yake Ruiya na kumuomba radhi kama kuna kosa lolote mtoto wao alimtendea Ruiya ili amwachie kijana wao lakin Baba ake Ruiya yani Gwandise hakutoa ushirikiano wowote.
Mliokaribu na huyu Baba mwambieni amwachie kijana wa Watu.
Picha ya kwanza ni Junior Jonathan
Picha ya pili ni Gwandise Jumanne Kelegele ambae ni Baba Mzazi wa Ruiya.
Picha ya tatu ni Ruiya Gwandise Kelegele ambae ndo alikuwa mpenzi wa Junior.
#FreeJuniorJonathan