Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Nimefanikiwa kupata namba ya Profesa Kabudi mpishi wa Report ya Jaji Chande.
Atumiwe salam kupitia namba hii +255754695099
NB. Ukipiga asipopokea muachie ujumbe.
Marry Christmas mpendwa mwenyekiti wangu wa chama @TunduALissu Dunia inajua upo kwenye kuta za magereza kwa sababu ya uzarendo wako na sisi tupo pamoja na wewe kwa njia ya maombi kwenye kila hatua unayoipitia huko
@FKihamu Nyie si mnasema October mnatiki?
Nenda mahakama kuu uone watu wanavyo fukuzwa wasiingie kwenye ukumbi wa mahakama?
Ndo ujue rais wa nchi yupo mahakamani wengine ni wachumia tumbo
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbalali Steven Katemba kapewa heshima ya kutoa salamu za rambi rambi kwenye mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa jimbo katoliki Kayanga.
Baada ya kutoa SALAMU anaanza kuleta UPUMBAVU wake wa siasa. Kanisa KATOLIKI lilishapiga marufuku wanasiasa kuleta SIASA zao madhabahuni.
Akapewa onyo akajifanya hajasikia. Sauti ikasikika "kabidhi Ubani uondoke". Akasepa na aibu kichwa chini.
Kanisa la ROMA ndio dunia, likishasema limesema. Ukijifanya kiziwi utadhalilika.
TUTAKUWEPO🫵😎
Mnakuwa na mambo ya ajabu sana nyie mpaka tunakoswa imani na nyie katakata,,,,,, kwani wanao toa kauli za uchochezi hamuwaoni mpaka muendelee kuhangaika na CDM? Je nyie mnao toa taarifa za uongo kila siku nani amesha wachulia hatua?