Mkiambiwa wananchi wamechoka upumbavu hamtaki, angalia sasa mpaka “MHESHIMIWA WAZIRI” anazomewa wazi wazi mbele ya kadamnasi😂😂.
Kukimbia hawezi, kuzuia vyombo vya habari hawezi😂😂😂😂😂😂😂!!
Kazi nzuri WANANCHI, tutafika tu.
Kimenukaaaaa, wauwaji hawana pa kupumulia, nje ya nchi wamekaliwa kooni, ndani ya nchi wamekaliwa kooni.
Watanzania haki itapatikana, one way or another cha msingi hakuna kukata tamaa na hakuna kurudi nyuma……
🚨LEO TUNAAMKA NA HABARI KUBWA ANZA KWA KUREPOST.
COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP
WAMETOA RATIBA YA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA TANZANIA NDANI YA SIKU 30, 60 NA 90
Pamoja na mambo mengine Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imepewa siku 30 iwe imetatua suala la kuzuiliwa kwa Mhe. @TunduALissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria lakini pia kuwaachilia huru watu wengine wote wanaoshikiliwa kwa sababu tu ya kutumia haki zao za msingi kwa njia ya amani.
Ndani ya siku 60 wameambiwa warejeshe upatikanaji kamili wa majukwaa ya kidijitali (digital platforms) kusitisha vitendo vya vitisho na unyanyasaji dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya siku 90 wahakikishe waitishe jukwaa la kuaminika na shirikishi la mashauriano kati ya vyama vya siasa, likiwa na wawezeshaji wasioegemea upande wowote yani Jukwaa hilo liwe na mamlaka ya kujadili na kukubaliana kuhusu marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, suala la watu waliowekwa kizuizini na uwajibikaji.
Lakini pia wametoa Onyo la Septemba 2026 kwamba Tanzania imeamriwa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mambo hayo kabla ya mkutano maalum utakaofanyika Septemba 2026.
Onyo la Novemba 2026 (Hatua Kali): Jumuiya ya Madola imetoa onyo la mwisho kwamba isipoona maendeleo yoyote kufikia Novemba 2026, itachukua hatua kali zaidi dhidi ya Tanzania (ambayo kwa sasa tayari ipo chini ya uangalizi kwenye Agenda Rasmi
Acha kuendelee kuwaka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Huyu mtoto wake alipigwa risasi tar 29 akiwa ktk shughuli zake. Ukimtumia ujumbe wa kulinda amani atajua unautusi ufahamu wake!
Tafsiri yenu ya amani ni ninyi kuuwa watu mshike dola.. alafu sisi tuone ni sawa! We reject to accept this.
We demand Justice for our compatriots.
‼️🚨PESA ZA ABDUL KAZINI‼️
Baada ya kuona hakuna maridhiano feki kutokana na misimamo imara ya Lissu na Heche sasa akina Abdul wanatembeza pesa za divide and rule!
Too little too late! Kama kweli Heche amekula pesa waliotoa wamelalamika? Akihitaji atatuambia aweke namba tutamchangia shida iko wapi? Hakuna kashfa hapo!
Kaka @HecheJohn endelea kusimama imara - wanajaribu kukutingisha nje na ndani ila usiyumbe! Wanataka muingie maridhiano ya kiwaki sababu gani? Wanalia unakwamsha Lissu kutoka ila Lissu hajalalamika 😁 tena ndo kwanzaa ana furaha!
We una akili sana na Lissu pia mnaelewa maana ya SOCIAL CAPITAL ambayo mnayo! Do not waste it kwa presha za kijinga!
Wajitokeze wote waliolipwa kupigia chapuo maridhiano ya kimama tuwajue nje ya hapo - ignore the naysayers! Fitna za kizamani hizi 🚮
Focus! Stay strong - tumeshashinda hawana namna lazima wamwachie Lissu maana wana hali mbali sana kifedha na kisheria kimataifa
Msiyumbe!
Hadi #TutaelewanaTu #FreeTunduLissu #JusticeforMO29
Pole sana Mhe @HecheJohn. Uso wako unaonyesha uchungu na maumivu uliyobeba moyoni.
Mungu ndiye mfariji na tumaini letu na tumaini halitahayarishi.
Iko siku maumivu hayo yatakwisha kwa maana hakuna kidumucho chini ya jua Mungu ndiye mratibu wa mambo yote na kwa nyakati zote.
Tuko Msibani. Acheni Tuzike. CHADEMA ni moja. Lissu & Heche ndio walikabidhiwa Jahazi. Tutawalinda kwa wivu mkubwa kwa maslahi ya Taasisi yetu. Matumaini ya Vijana ndani ya Taifa letu yapo CHADEMA, Tutakilinda Chama hiki na Viongozi wake. Puuzeni UMBEA. BAVICHA tukutane DODOMA.
Kanisa Katoliki Nchini Kenya walipopewa Mamilioni ya fedha na Raisi Ruto Maaskofu walihoji fedha hizo amezitoa wapi na alivyoshindwa kuelezea alipozitoa Maaskofu waliamuru arudishiwe fedha zake wakaziita kuwa ni fedha chafu za wizi na jasho la Wakenya.
KKKT chini ya Askofu Malasusa wamekubali kuwa jukwaa la siasa chafu za Samia kwa kuhongwa Mamilioni ya fedha zisizojulikana zimetoka kwenye bajeti ipi. Waumini wa KKKT mnawajibu wa kuhoji na kupinga kanisa lenu kutumika na hawa wanasiasa.
Kataeni fedha za hizi, Ni fedha chafu, Ni fedha zilizolowa damu za Watoto wa Tanganyika zilizomwaga Oktoba 29.