@RashdaZunde Mengine mnapo changia msikurupuke angalia familia yako ukoo wako je mna wakili wa familia sio likitokea jambo mnaitana ukoo mzima mnachanga laki tano kabla ya kuchangia na kupost ulichochangia geuka nyuma angalia familia yako uzito huo wanao wakumbatie na Kisha amua
@Adventure_36@_shaffy Yaani inapaswa wale wote wanaotajwa na CAG ktk wizara Halmashauri na miradi ya serikali pia wafikishwe mahakamani maana wao wanapiga hela nyingi kuliko hawa walimu au kwasababu huku wanasiasa hawana maslahi ya mojakwamoja
@Roma_Mkatoliki@gg_ihy Yaani wazazi wako ndio ndugu zako ikitokea Mama Baba kaumwa mtoto iwe wakike wa kiume unawajibika kwa mzazi ndugu waje wakupe saport tu nimtoto pekee asieweza kumnyanyapaa mzazi
@Ludan180@kasesco_tz Mwananchi hana wakumtetea mpaka viongozi wa juu waone ndio mwananchi anapata nafuu kwamaana hiyo wanakuwa hawatufai barabara zina mashimo miaka na miaka siku ikiwa mwenge unapita yanazibwa yote sijajua tatizo huwa ni nini