@RealHauleGluck @kigogo2014@SuluhuSamia Washamba na wapumbavu
Hatushindani hoja kwa matusi
Sikuwahi kuona wala kusikia wao wakijibiwa wanajibiwa kwa matusi,kama wapo vizuri waseme kwa hoja na sio matusi ya nguoni namna hiyo!!Watanzania hawawez elewa hoja zao kwa njia ya matusi,bali siasa za kistaarabu!!
@ccm_tanzania Pale uenezi wangemtupia @AllyHapi
Pale wazaz wangemtupia Makalla
Uenezi unahitaji mtu flani hivi,mwenye vikolombwezo flani hiviππ
Lkn yote kwa yote,hongereni sanaaa wapendwa kwa kuaminiwa na Halmashauri kuu ya CCM chini ya Mh Rais @SuluhuSamia
@Jambotv_@SuluhuSamia Hapi alifaa nafasi hii,alafu huyu aende wazazi
Uenezi unafaa mtu flani hivi,mwenye maneno flani hivi,ili aende perpendicular na wale upande wa piliπππππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ