@MSAFWA_OG Sababu kubwa ni kuwa watoto wa kike wengi wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli. Huwa wanadhani mwanaume anaempatia kila kitu ndio mtu sahihi bila kumchunguza tabia zake.
@mzeewakaliua Mbona kanuni zinazokipendelea chama tawala kibaki madarakan hamzikosoi? Hizo kanuni ni zao la kanuni ya serikal iliyopo madarakani. Anza kusafisha ndani kabla ya nje
@zittokabwe Natamani sana mabadiliko unayoyasema kiongozi lkn shaka ni huu mfumo mbovu kabisa wa uchaguzi. Kwa mfumo uliopo mbunge wa upinzani akishinda basi wameamua tu kukupa ili kuonyesha kuna demokrasia. Tuombe mungu tupate viongozi wazalendo ndio taifa litarud kwenye mstari
@zittokabwe Kanuni ni kali sana hakuna matumizi ya simu vituoni ukipiga kura unatakiwa kuondoka eneo la tukio sasa tutajuaje kuwa ndani ya kituo kura zimebadilishwa? Lau kanuni engeruhusu matukio ya vituoni yawe live na vyombo vya habari hapo ingekuwa rahisi sana kulinda kura.
@HusseinBashe Mheshimiwa waziri pole kwa majukumu. Hongera kwa kazi nzuri pia. Naomba ufanyie kazi zao la kitunguu wakulima wauze kwa kilo shambani na sio kwa gunia. Wakulima wa kitunguu wanaumia kuuza kwa gunia kwasababu gunia linasindiliwa badala ya kupimwa kwa debe. Lifanyie kazi hili
@CloudsMediaLive Kwann hamkumuuliza matokeo ya mwaka 2019 serikal za mitaa, 2020 uchaguzi mkuu na 2024 serikal za mtaa wapinzani walishinda? Na kama hawakushinda sababu ilikuwa ni nini? Ndugu waandishi wa habari pendeni kuuliza maswal muhimu na mahumu.
@msakufarm One day yes. Kaka nami nahitaji siku moja nilime idadi hizo za heka. Na weww ndio utakuwa mwalimu wangu. By shabani mkulima mwanga kilimanjaro