Mama Suluhu Hassan, President of Tanzania, is fast becoming one of my favorite leaders in Africa. No nonsense and extremely decisive! Asante sana Mama.
Nawatakia ndugu zetu Wakristo kheri katika Kipindi cha Kwaresima. Katika kipindi hiki cha siku arobaini za ibada, kufunga na kufanya toba, tuendelee kuiombea nchi yetu amani, upendo, umoja, utulivu na yote yaliyo mema, huku tukiwakumbuka wenye uhitaji.
Tutumie pia kipindi hiki kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kutuongoza katika kuuishi ukweli na uadilifu kwenye utekelezaji wa majukumu yetu kwa wenzetu, na kwa nchi yetu.
*🌍 What's Your Vision for Africa in 2025? 🌟*
1️⃣ An Africa with Equal Opportunities for All.
2️⃣ A Technologically Advanced and Innovative Africa for all
🌟 Exciting News! The African Youth Festival Application Portal is Officially LIVE! 🌍🎉
We are thrilled to announce that registration for the African Youth Festival is now open!
📝 Register now via:
🌐 https://t.co/V0W3hVrMDP
🌐 https://t.co/WSUvw1ihbK
📢 #ayf
Uimara na UHAI wa Taasisi yoyote duniani hutokana na namna inavyolinda na kuheshimu maslahi ya UMMA inaoutumikia.
Kiburi tulichonacho leo ni kwasababu UMMA umekuwa upande wetu muda wote.
Tuilinde IMANI hii.
Ikishapotea, haina historia ya kurudi.
Earlier this week, Michelle and I called our friend @KamalaHarris. We told her we think she’ll make a fantastic President of the United States, and that she has our full support. At this critical moment for our country, we’re going to do everything we can to make sure she wins in November. We hope you’ll join us.
I’m so proud of my girl, Kamala. Barack and I are so excited to endorse her as the Democratic nominee because of her positivity, sense of humor, and ability to bring light and hope to people all across the country. We’ve got your back, @KamalaHarris!
📸 #BungeniLeo kwenye #BajetiYaWakulima
Shukrani za dhati ziwaendee wadau mbali mbali wa Sekta ya Kilimo nchini walioweza kujiunga na sisi leo.
Kazi Iendelee. #Agenda1030
Wengi wanafahamu zaidi kipengele kimoja cha Programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT-YIA) @BBTKilimo maarufu kama Block Farming, yaani Mashamba makubwa. Hata hivyo kuna miradi mingine ndani ya programu hii ikiwemo Utoaji wa mikopo ya riba nafuu (4.5%) - BBT Financing kwa vijana wenye biashara/miradi kwenye mnyororo wa thamani wa Kilimo.
Kwa Mwaka wa Budget 2023/2024 kupitia Mfuko wa Pembejeo, Serikali ya Awamu ya 6 Imetoa Mikopo yenye riba nafuu (4.5%) yenye thamani ya Shilingi 950,094,520 kwa vijana 118.
Programu ya @BBTKilimo inalenga kuongeza ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye kilimo. Miradi mingine ya Programu hii ni pamoja na Mradi wa visima kwa wakulima wadogo (boreholes for small holder’s farmer) na BBT – Ugani (BBT – Agricultural Extension Enterpreneurship Scheme)
2024/2025 ni #BajetiYaWakulima
#Agenda1030 #KilimoNiBiashara
O you who believe, when you meet an enemy, be firm, and remember Allah much, that you may be successful. And obey Allah and His Apostle. And fall with no disputes, lest ye falter and your strength fail; but be steadfast! For Allah is with those who patiently persevere.
KIKWETE AKUTANA NA WATENDAJI WA TASAF MKOA WA DODOMA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amekutana na kufanya kikao na watendaji wa TASAF mkoa wa Dodoma akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Rosemary senyamule na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TASAF Ndg. Shedrack Mziray ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo na mafanikio ya mradi wa Kuondoa umaskini Maarufu TASAF.
Akiongea katika kikao hicho, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aliishukuru Serikali kwa juhudi zinazofanywa kupitia TASAF ambazo zimesaidia kupunguza sana changamoto katika kaya nyingi zikiwemo za Afya, Elimu, kipato na maisha kwa jumla. Maneno ambayo yalisadikkishwa na maneno ya Kaimu Mtendaji Mkuu wa TASAF bwana Mziray ambaye aliwakumbusha umuhimu wa kutekeleza maagizo kama walivyoelekezwa na Uongozi wa TASAF.
Akizungumza Ndg. Kikwete, aliwashukuru sana watendaji kwa kazi nzuri wanayofanya na kuwaomba kurekebisha baadhi ya kasoro zinazojitokeza ikiwemo ya kutofika kwa wanufaika pale panapotokea changamoto kubwa zinazohitaji maelezo ya kitaalamu.
#TASAF #Dodoma