Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu — muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
#TajiriLaKihaya
ALLAHU AKBAR🙏🏽
Leo Mlinzi Wangu MAASAI Amesema anataka Kuslimu awe Muislamu…
Amesema; kwanza kabisa Alivutiwa na Jinsi Nlijenga MSIKITI Nyumbani Kwangu,
Pili kavutiwa na Jinsi familia Yangu Inahifadhi Swala Tano kila siku kuanzia watoto,Mke hadi watu wazima.
Kavutiwa na UKARIMU wetu na UPENDO tulionao Kwa majirani zetu,ndugu,jamaa na marafiki!
Mambo Haya na mengine mengi yalimfanya aanze kuufuatilia uislamu Kwa ukaribu Kwa takriban miezi nane sasa na leo hii KAAMUA KUSLIMU RASMI.
TAKBIIR🙏🏽🙏🏽