@ayubu_madenge Ameshaacha CRDB anafanya kazi kwenye kampuni yake binafsi ya sabuni nzuri na za kisasa, Nargis company Ltd iliyopo mikochen jijini Dar es salaam
@IAMartin_@MuhimbiliTaifa Hospital ya Muhimbili ni taasisi kubwa,nashaur waende kwanye cctv camera waangalie
Hapa tusiilaumu hospital. Hawa ni watu wachache kwa manufaa yao Binafsi
@fatma_karume Kwa mtazamo wangu mimi,chama kinachongoza kijiwekee vision ndani ya miaka 10 au 20 lets say ili wakimchagua kiongozi wao aweze kutekeleza vision iyo ya kipindi anachongoza nchi badala ya kiongozi kujiamulia ni miradi gani yeye mwenyewe aifanye na ndio maana miradi mingi instop.