@fatma_karume Yawezekana tukapishana uelewa ila sidhani kama huyu alihitaji favour ya waziri au hakuna rule of law ...
Ingekua hivo unavotaka kuwaaminisha watu tusingekua hapa.
Hivi nikikosewa na sehemu ya mwanafamilia wenu napashwa kuihukumu familia yenu nzima ????makosa ya kibinadamu yapo
...Msidhulumu wala msidhulumiwe.
Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka (mdaiwa) afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
Quran 2: 279-280
@SwahiliBible Yaani hapo ndio uneonyesha na kudhihirisha ni kwa kiwango gani unaendesha maisha yako kwa kukariri na mihemko ....Msella is my sir name
Kamwe usifanye vitu kibubusa ...