@FKihamu Hawaelewani ..! Watamalizaje?
TFF ana nguvu kubwa on this case sio kusubiri muafaka na kubarikii.. dogoo anatakiwa acheze mpira, na si lazima awepo YANGA.. hakuna mkataba usovunjika
@Hansrafael19 Ye ni nanii?.. asee embu angewachambua kina georginho, fabinho na overated henderson kwa stailii hiyo, CASEMIRO ajengewe sanamu... Super midifilder currently