@Tanescoyetu Niliomba umeme tangu mwezi wa tisa mwaka jana mpaka leo yapata miezi 7 hata control namba sijawahi kupewa naambiwa vifaa hakuna, najiuliza kama watu wako tiyari kulipia lakini mtoa huduma anasema hana vifaa @wizarayanishati tz
@Advocate_Jebra Sheria zipo mbons
Ukisoma Public health regulation ( sanitation and hygiene regulation) 2012 kuna issue ya Sanitation permit and fee pale biashara nyingi zimeelezwa hakuna haja ya kutunga Sheria mpya @bhoshotole@Advocate_Jebra