@MariaSTsehai Ikipangwa mnaleta nongwa, et sababu flani wamesema, ikipelekwa mbali mnaleta nongwa, waacheni wafanye kazi yao huko ni kuingilia uhuru wa Mahakama jamani.
@ChademaTZ2@TunduALissu Na zile video ndani ya Mahakama alirusha nani? Mbona Media nyingi zimeripoti hadi msosi wa Mhe Lisu aliokula jana? Au wao taarifa tunazoziona mtandaoni za ndani ya Mahakama walitoa wapi kama wamezuiwa kuingia? Na mbona wao waandishi hawajalalamika kuzuiwa? Mmmh
@Ntobi_ Sasa Kamanda kuna Hukumu inatolewa bila kesi kusikilizwa? How? Na Magereza wanampokea akiwa amefungwa vipi bila kuhukumiwa? Napata mashaka na taarifa yako Mkuu
@PMadeleka Mbona kama unalazimisha vita na Majaji wa Mahakama Wakili msomi? Kwani wewe sio sehemu ya Mahakama? Basi wakikutaka uthibitishe Wakili msomi usije omba visingizio, nadhani kuliko kujivunjia heshima ni vyema ukabaki nayo kwa kutotuhumu watu bila ushahidi. Ushauei tu Msomi
@HildaNewton21 Napata wasiwasi kila unachoposti kama kina ukweli na Mantiki pia,nsio kila taarifa unayotuletea ina ukweli, fuatilia, chunguza na utuletee uhalisia sisi wafuasi wako Da Hilda sasa kama kila kitu unatupa hakina ukweli unatuchanganya, Mahakama wana utatatubu wao wa kupanga kesi.