🚨EXCLUSIVE
Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”.
Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌
Repost 200
#FreeTunduLissu
Tafsiri isiyo rasmi ya kisa cha kujiuzuru Jumbe kama Makamu wa Rais wa JMT na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Excerpts toka Pan Africanism or Pragmatism by Issa G Shivji.
Muda mfupi baada ya Jumbe kuondoka kwenye ukumbi wa mkutano, Sokoine na Kawawa walimfuata. Walimwomba aandike barua zake za kujiuzulu. Jumbe alimwamuru katibu wake aandike barua ya kujiuzulu kutoka nafasi ya Makamu wa Rais wa Serikali ya Taifa na nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama.
Kisha akaja Nyerere. Jumbe alipodokeza kwamba angeandika barua zake za kujiuzulu akiwa Zanzibar, ‘niliona kwamba alikuwa na wasiwasi sana.’ Nyerere alimwambia Jumbe asiende Zanzibar. Angeweza kwenda mahali popote Tanzania Bara. Jumbe akasema alitaka kumchukua mke wake kwenda Pemba; Nyerere akasema, ‘hakuna haja.’ Jumbe kisha akaongeza kujiuzulu kutoka kwenye nafasi zake za Zanzibar katika barua zake, mbele ya Nyerere.
Uwanja wa ndege, Jumbe aligundua kwamba ndege ya Serikali ya Zanzibar ‘haikuwepo.’ Badala yake, kulikuwa na ndege ya Serikali ya Muungano iliyompeleka Dar es Salaam. Takribani wajumbe kumi wa NEC walikuwepo kumuaga. Katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam hakukuwa na afisa yeyote wa kumpokea, isipokuwa uwanja huo ulikuwa umezungukwa na ulinzi mkali wa polisi na jeshi, ‘aina ya ulinzi ambao sikuwa nimeuona tangu Vita vya Uganda.’ Jumbe alipelekwa kwenye nyumba yake binafsi iliyoko Mji Mwema.
‘Karibu jioni nilichukua simu ili kuwapigia wake zangu waliokuwa Zanzibar. Simu ilikuwa imekatwa. Nikajiuliza: je, yote haya yalikuwa kwa ajili tu ya kuniondoa?’ Nyumba hiyo ilikuwa inalindwa na vyombo vya usalama. Alipotaja kwamba angeenda Zanzibar siku iliyofuata kuwaona wake zake, mara moja askari wa usalama walijitokeza ili kumsindikiza. Hakukuwa na mtu katika uwanja wa ndege wa Zanzibar wa kumpokea. Baada ya kuzungumza na wake zake, alisafirishwa kwa ndege kurudi Dar es Salaam, ambako amekuwa akiishi tangu wakati huo.
Wakati wa mapumziko ya mkutano, inaonekana kulikuwa na mashauriano kati ya Nyerere na kundi la Hamad kuhusu suala la urithi wa uongozi. Hamad alimwambia mwandishi kwamba Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1979 ilitoa njia mbili za kujaza nafasi hiyo; ama kupitia Baraza la Mapinduzi…”
#TajirLaKihaya
Kwa jinsi naona Mabinti waChuo wanachofanya/wanachofanywa… kwenye hizi Clubs Usiku….
Inabidi wazazi tugome kuwapeleka watoto wetu Vyuoni hadi Serikali ituhakikishie Usalama wao hasa wa kimaadili!
Serikali inafaa iwaProtect hawa watoto… ikiwezekana kuweka sheria kali!
Huu UHURU umepitiliza aisee na tunao umia ni sisi Wazazi💔💔
The world needs to know what is happening in Uganda on election day. Internet switched off. Massive ballot stuffing reported everywhere. Our leaders, including Deputy President for Western Region, arrested. Many of our polling agents and supervisors abducted, and others chased off polling stations. BVVK machines have failed everywhere. The PEOPLE OF UGANDA MUST RISE TO THE OCCASION AND REJECT THE CRIMINAL REGIME. THE WORLD MUST NEVER GIVE ANY LEGITIMACY TO THE REGIME OF BLOOD AND SHAME.
#FreeUgandaNow
MIKA LUCAS CHAVALA.
Kitu ambacho anafikiri @MikaChavala kinafanana sawa na fikra za waasisi wa mataifa mengi ya Afrika na waasisi wa Pan-Africanism ambao wengi walikuwa na mtazamo wa kuwa na Afrika moja yenye nguvu moja.
Fikra za MIKA CHAVALA ni sawa na walivyokuwa wanaitazama Afrika watu kama; J.K Nyerere, Marcus Garvey, W.E.B. Du Bois, Kwame Nkrumah, Ahmed Sékou Touré, Haile Selassie, Thomas Sankara, etc.
Leo ubongo wa mtu mahiri kama MIKA CHAVALA hatutaki kuutumia, wahuni wamemkamata na kumpa kesi ya uhaini ili wamnyonge. Halafu bungeni wamempeleka Baba Levo na Babu Tale na Kibajaji. Ni huzuni.
Mfano katika video hii, MIKA CHAVALA anamzungumzia Afrika moja akisema kuwa nguvu ya kiuchumi na usalama bara la Afrika iko katika kuzungumza kwa lugha moja na kutenda kama kambi moja (single bloc).
Anasema kwamba, Afrika iliyoungana ikiwa na pasipoti moja, sarafu moja na mifumo ya kiuchumi shirikishi itapunguza utegemezi wa fedha za kigeni, itaimarisha taasisi kuu za kifedha za bara la Afrika.
Hii itaongeza ushawishi wa Afrika katika wigo wa ushawishi wa kisiasa duniani kote, ikiwa ni pamoja na katika vyombo kama vile Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (United Nations Security Council)
Pia, anasisitiza kuwa kilimo na rasilimali mbalimbali za Afrika zinaweza kuwa rasilimali yenye nguvu ikiwa nchi za Afrika zitashirikiana kwa karibu zaidi katika uzalishaji na soko. Hapa anazungumzia ufungamishaji.
Kwa kuunganisha masoko, kusaidia wakulima wa ndani, na kufanya biashara ya bidhaa muhimu wenyewe kwanza, Afrika inaweza kuimarisha usalama wa chakula na kupunguza utegemezi wa bidhaa za nje.
Anasisitiza, umoja huo utafanya bara la Afrika kustahimili vikwazo zaidi, kuipa Afrika uwezo wa kujiwekea masharti katika biashara ya kimataifa, na kufungua uwezo wake kamili wa kiuchumi.
Hivi akili kama hii unaifungia ndani ya gereza kwa sababu tu aliunga mkono maandamano ya vijana wenzake kudai haki za msingi na haki za kiraia – unammshtaki kwa uhaini ili umnyonge? Mmechanganyikiwa.
Unabeba NG’OMBE za kutosha na kuzipeleka bungeni halafu akili timamu kama hii ya MIKE CHAVALA na wengine wengi unazitunza gerezani kwa kesi za uhaini wa uongo. Ni wazi kwamba HAMJITAMBUI kabisa.
Kimsingi, atapata msaada wa kisheria hata kama mtagoma kumuachia huru bila masharti. You don’t just jail a working brain, instead you have to use it #freemikachavala #freemikachavala
Mama Samia will@find it very difficult to travel the world as she used to do after taking over from Magufuli She now finds herself isolated even to some of her dictator friends. Be rest assured she is now like a caged tiger in a zoo.
Obama ni kama alikuw anaongea na Samia jana kwenye uapisho
alisema haya miaka mingi hiyopita lakini kuna mjinga moja asiyejilimisha amekuja kufanya yote ambayo kichwa cha Harvard kilisema miaka mingi
Ndio maana ANC wame jump boat maana walishashituka wataonekana kama mafala