@MarekaMalili Ata mkifuatilia wengi je unahis kuna chchote kitabadirika
Jibu ni hakuna so
Jinyamazie kapige mitungi ili uepuke stress za nchi hii
Watu hawapo tyr kw mabadriko ufuatilie ujiumize kichw na hamna kitu itabadrika au uendelee na mengneyo watu wapitshe yao
@Dr_Msemo@FatmahShokat Ila maziwa yanunuliwe tu kwa sana kufuga ng'ombe nigarama sana na vile vile akinona tu majiran nao wnamtaka
Pia kat garama zote nikwako
KulA KULALA KUVAA MATIBAB JUU YAKO KHAAAA sasa si bira kununua maziw tu matiba ya ngombe inakuw sio shida zako ๐๐๐
Huyu Mama angekuwa Mbunge Wangu kura yangu angekula kiboss tu bila hata nguvu nyingi.
Kuna viongozi wanazurura page za Udaku tu wakikutana na Kesi zetu hata tukiwa Tag wanazipita post kama Ads za Alibaba ila huyu Mama anajitahidi sana japo hawezi wafikia wote.
Mungu amuweke
@Rahmer255 We nae una chama baba ako anajua kwmba una iko chama tumia akir bas acha kutumia ma...ko
Act nacho ni chama sasa chakuringia et nacho kinawania kuchukua dola nipo hapa labd dola ya kujiosha kwa chama tawla nipo hapa ata miaka mia ipite act sio chama buana eb fanyn vit zng
@Mwanzalimaa Cheif sema nn umenyooka kama rula aisee hawa wasimbe wnatupanga sana kmmk washtumikabukoo vy kutosha wakikuitea ss wnaanz kupanga standa kama vile umewakuta bikra
@MartineMasalu@Pharm_Council Sisi sio ni lao tuacheni manina huwa tunaoitia mitihan migum sn uku kwny semester tu ndomaana dsco zakutosha we uliona wap ca co anafany mthn kwny hopstl zamkoa ile hali ss ni wa tunatib uko zhnt aya aya mapotal htn ya nn
Mtu anasoma co miaka 6 ๐๐
@McinikaWaLamar Ukweli mwingine ukiajiliwa kwa hali ya sasa bila kutengeneza njia zingine za kukupa kipato nje ya kazi utaishi maisha magumu sana na utaishia kwny madeni kila siku
@Sir_golds6 Duh hiii inaniuma sana
Una shule kubwa fanya biashara ina medicine la sivo endelea kusubir umoi na ma moi wnavyojikutaga hspt kama za baba zao kulaleleki moi kama ded vile ๐๐๐af mfukon ana ela ya kula tds tu yakujenga mpk akope
@kalegamyeh@kigwadick7 Mganga kabisa chief umesahau hapa unakutana na M.A
Tu mmoja dsp kote alotate kote
labour opd rch emegency aandae taarifa kilakitu
Ahudhurie vikao
Apo ni ana familia muda ote awepo maeneo ya kaz haijalish na slave saral ya 389k
Apo anafamilia kubwa
Inamtegemea kwa kila kitu
@drmlalukoMD Hapa minawalaum mct idara ya afya kutuwkea kila mwaka kurenew lesen kwa ela yetu ya mshahara kivip yan hii ipoje ipoje si kila idara wakwe sasa iweje sisi