@flahisha Bro hizo ni dharau kuna kumuonya mtu kwa njia maalumu na sio kumtandika mboko zote hizo na kumrekodi kosa la jinai huo umri kama mke au dada yako basi hata akikuchukulia sheria wewe ni ndani
@SimbaSCTanzania Nyie wasenge kiukweli tunanunua jensi tunalipa card ya wanachama tunacomment kwenye media tuna ila mnatuona sisi mashabiki wa soka wasenge mnatudanganya mnavyo jisikia na kuku kabisa oya nawamaindi sana na kesho mdinywe alafu mzingizie kutofanya mazoezi
Hii ni picha ya CCTV ya watu waliokuja kunifuatilia nyumbani kwangu.
Wameulizia nyumba yangu, na baadae wakaondoka bila hata kutaka kuingia au kueleza kwanini wanatafuta nyumba yangu.
Tumefuatilia hiyo gari na kugundua kwamba namba za usajili inazotumia sio namba halisi..
Namba hizo T318 EQJ ni namba zilizosajiliwa kwa magari ya kulima barabara sio namba za Land Cruiser hardtop hiyo.
Polisi wanapaswa kutuambia hao ni kina nani na nia yao hasa ni ipi kwangu.
Hatutakubali kuishi kwa hofu kwenye Nchi yetu.
Mambo ya aina hii yanaweza kuingiza Nchi kwenye hatari kubwa sana .
Watanzania sisi tutafanya kazi yenu bila hofu, msikubali kuona viongozi wenu wanatishiwa.
Stay strong kaka, Watanzania wana Imani na wewe. Wauwaji wanajaribu kukuchafua ili uwe mchafu kama wao na wizi wao na ufisadi wao.
Pesa wametoa wananchi ila wanaolalamikia pesa hizi ni wauwaji wa October 29 mpaka wanalipa watu kukuchafua. Wao wanaumwa nini roho? Sisi wananchi tunaotoa hizo pesa tuna Imani na wewe na matumizi ya pesa.
Pumbav, pesa tutoe sisi wananchi ila vinembe viwawashe waoโฆ.
Pumbav, na Rolls Royce tutamnunulia Lissu akitoka jela ili wauwaji wafeee kabisa.
@joeselasini Hii mbwa inajikuta nani kwenye hii nchi. Alafu watu wakiuawamnaaza kutuambia upumbavu etibwasio julikana huuni upumbavu wa wasomi tulionao hapa nchini
@fbuyobe Huu ni uhuni sasawl watukutaka haki ni kutafutiwawatu ili wauawe.. dah RESTIN PEACE . MAGU ulikua mfariji wa wanyinge hizi laana zilizo baki ni takataka mbwa kabisa
Mheshimiwa Spika, kauli zako ni nzuri kusikiliza, lakini uhalisia wa Bunge la leo unaonekana kusema kitu tofauti kabisa.
Umesema jukumu kuu la Bunge ni kuisimamia Serikali. Swali la msingi ni hili: nani anaisimamia Serikali ikiwa Bunge lenyewe linaonekana kuogopa kuikosoa?
Bunge halikuundwa kuwa muhuri wa maamuzi ya Serikali. Halikuundwa kuwa jukwaa la kusifia utendaji wa Serikali. Halikuundwa kuwa idara ya mawasiliano ya Serikali. Liliundwa kuwa chombo huru cha kuhoji, kukosoa, kuchunguza na kuwawajibisha waliokabidhiwa mamlaka kwa niaba ya wananchi.
Kwa miaka ya karibuni, Watanzania wameona mawaziri wakifanya makosa bila kuwajibishwa, taasisi zikituhumiwa kwa uzembe na matumizi mabaya ya fedha za umma bila uchunguzi wa kina unaozaa uwajibikaji, na hoja nzito zikizimwa kwa wingi wa kura badala ya kujibiwa kwa hoja. Huo si usimamizi; huo ni ulinzi wa mamlaka.
Umesema Bunge si sehemu ya migogoro na malumbano yasiyo na tija. Lakini demokrasia haijengwi kwa ukimya. Demokrasia hujengwa na maswali magumu, hoja kali na mijadala huru. Serikali inayotaka Bunge lisiihoji, haijengi uwajibikaji; inajenga utiifu.
Historia ya miaka 100 ya Bunge haina maana kama Bunge la leo linashindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi. Taasisi huhukumiwa kwa kile zinachofanya sasa, si kwa heshima ya jana.
Wananchi hawahitaji hotuba zinazosema Bunge linaisimamia Serikali. Wanahitaji ushahidi. Wanahitaji kuona mawaziri wakiwajibishwa. Wanahitaji kuona Kamati za Bunge zikifanya kazi bila upendeleo. Wanahitaji kuona Spika akilinda haki ya wabunge kuhoji Serikali, hata pale maswali yao yanapoiumiza Serikali.
Bunge linapokuwa dhaifu, Serikali huwa na nguvu kupita kiasi. Na Serikali yenye nguvu isiyodhibitiwa ndiyo mwanzo wa kuporomoka kwa utawala bora.
Kwa hiyo, heshima ya Bunge haitokani na ukubwa wa jengo lake wala umri wake wa miaka 100. Heshima ya Bunge hutokana na ujasiri wake wa kusimama mbele ya Serikali na kusema: โHapa mmekosea, na mtawajibika.โ
Mpaka siku hiyo itakapodhihirika kwa vitendo, kauli kwamba Bunge linaisimamia Serikali itabaki kuwa ahadi nzuri kuliko uhalisia unaoonekana mbele ya macho ya Watanzania.
Bunge lisipowajibisha Serikali, basi wananchi hupoteza ngao yao ya mwisho dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka.