@langazungutz @JohMakini@JohMakini ni rapa bora wa wakati wote,mara nyingi vitu vikubwa anavyo fanya havizungumziwi kwasababu inapokuja mada hiyo mezani kila mmoja(marapa wengine)anajua kilichofanyika ni kikubwa na kuzungumzia nikama kujikosoa wao wenyewe na udogo wa kazi zao.