Without God, I'm NOTHING.
SEMA NA MIMI
#DReamBIG
@SimbaScTanzania
@mancity
@realmadrid
@masandawana
|Wakuabudiwa is a forever blessing @shushochristina
@babalao__@chapo255 Niko disappointed, na nilitamani niisikie sauti yake zaidi yaani kama alivyofanya Cassim Mganga vile au angepiga zile za "Beat Chorus "
@chapo255 Mi namkubali sana Nature sema sijawahi kuona performance yake akiimba Live hata Show ya Leo nilitamani sana niisikie sauti yake zaidi niko disappointed na performance zake for real na bahati mbaya ni mmoja ya wasanii wangu pendwa yuko kwenye TOP 3 yangu
@Kassa_Chiddy@eastafricatv Usihukumu dunia ina mengi hii. Mpaka sasa hakuna anaejua kama ni kweli kabaka au kasingiziwa. Ukweli wanaujua wenyewe. Tubaki na picha ya juu kusimama katikati na penye uwezo wa kumsaidia kwa mali au hali ama maombi na afanye hivyo.