@HildaNewton21 Nilikua nakushauri kwakutumia hizo namba za simu kuna mawakala wanaeza kuangalia namba yake ya nida, tukiioata hiyo kila akibadili namba tutaziona kupitia namba ya nida
Iwe rahisi kupelekewa moto kila akihama namba na hii ifanyike kwa watesi wote naomba kuwasilisha ushauri