@Mapungo2020 Utakuta baadhi ya wengi mnaoongea mmekua kupitia jitihada za mama zenu baada ya kua wamenyanganywa au kunyimwa hiyo 50% wakati baba akifariki.
Umewahi kufikiria ukifa leo umeacha watoto mkeo atawalea vipi ikiwa hana kitu chochote??
Tuwazie utu kabla ya mali
Tufikirie sana