@ErickSamweli5 @eastafricatv Ingekuwa hapa wange mimina risasi kama wanapiga kenge huwa askari wetu wanaona ushujaa kua huwa hawajuwi kuwa kuna kuchukua taarifa
@lifeofmshaba@CatherineRuge@fatma_karume Anapo zungumza wanawake waongezeke Mama Samia ana maana wanawake wa CCM maana uchaguzi wa 2020 Chadema iliweka 75% wagombea wanawake anajua kilicho tokea sasa awe bayana hao wanawake kuongezeka ni wa chama gani? Rais hawezi timiza hili bila Tume huru na democracy CCM hawatokubali
@chikidsm Hiyo silaha kwa Jinsi anavyo itumia kwanza anajua na hana uoga hiyo silaha huwezi kushikwa kwa Mara ya kwanza ukawa huna wasi wasi hรฉ know how to use the gun, ni mashine nzito kama hujawahi itumia mshindo wake lazima uitupe chini.
@millardayo Inapotumika nguvu kubwa kujibu makosa ni kuendelea kuiweka hoja kuwa hai tujifunze kumsaidia rais asifanye makosa mara kwa Mara taasisi ya urais inabeba nchi mnapo mwacha Rais anafanya makosa mnainajisi nchi haya yanayo fanyika yanaonekana Rais ana jitetea mtafanya mara ngapi?
@lifeofmshaba Hapa ndio nawakubali US wanasimama kwenye ukweli nchi ina tatizo la Katiba,Mwalimu aliehusika kuiandaa alisema katiba hii ni mbovu ikipata mtu sio mwaminifu akaitumia viabaya ni Maafa awamu ya 5 tumeona hatujajifunza bado tuna kataa katiba mpya,Diallo kasema ccm wabishi kukubali.
@Eric_Bernard94 Nyerere alisema katiba iliopo ni mbovu inampa rais madaraka makubwa na akipatikana rais asie mwaminifu akaitumia vibaya ni hatari, Mesha sahau awamu ya 5 mara hii Kamuulizeni Diallo alikuwa ana Maana gani? So Nyerere Nayeye alikuwa amekosa Lishe???
@MsigwaGerson Zile Bil100 alizo poteza aliekuwa Mkurugenzi wa ATCL D.Mataka akahukumiwa fine 8m naomba kama msemaji wa serikali uje utuambie vizuri wananchi maana mnataka tujitolee kujenga nchi kulipa TOZO ila mnatukatisha tamaa.Hiyo Mahaka ya mafisadi na uhujumu uchumi ndio hukumu zake hizi?
@fatma_karume CCM,polisi waonevu imagine wana Lishana sumu mikutanoni halafu polisi kimya uchunguzi,imagine wanao hojiwa Kamati ya Maadili ni CCM wenyewe ila tunaona vituko vya wanao hojiwa wana kataa kila kitu najiuliza kweli tunatafutaโWasio julikanaโ naamini ni zaidi ya magaidi wanaogopwa
@Mchambuzi5@LuckyOnesmo@tanpol Hii Kesi askari wafanye uchunguzi na wawe wakweli na Kama Kweli kuna uzembe na maadili ma bovu ya askari mtu awajibike Jeshi lime lalamikiwa sana na sio raia hata rais amesikika akimweleza IGP kuhusu kesi za kubambikiwa, watu kusota magerezani,na kufia vituo vya polisi.
@fatma_karume Hizi zipo nyingi tu jikoni zitatoka soon mama walikuwa wana mvutia kasi wawekezaji wengi walio kuwa na Madai yao ambao walikuwa wana hisi hali kutulia waka Jikita kuwekeza tena kwa sasa hali alio ioneshe Mama wanakazia kesi zao maana wanajua yatakuwa yake yake. Acha watu wavune
@lifeofmshaba Hasira kwa kuwa askari wao wame uwawa ila hii kama story inayo semwa ni ya kweli basi huyu Hamza hivi vitendo atakuwa amefanyiwa mara nyingi na Polisi hao na alikuwa na hasira nao.Haiwezekani mtu apate ujasi wa kuuwa polisi na kuchukua silaha kirahisi hivi IGP Hili lichunguzwe.