@lifeofmshaba Wamekata rufaa high Court,rufaa ambayo automatically inakuwa na zuio la kuendelea kwa hukumu inayolalamikiwa,wataendelea na kazi mpk hukumu itoke,watakuwa wabunge wa Mahakama km ilivyotokea kwa Zitto na Kafulila walipofukuzwa kwenye vyama vyao.