1 yr ago, I built https://t.co/BBHdSkUAxJ to solve "university assignment" coverpage creation & "nearby stationery shops" printing issues. ๐
Posted on TikTok & it blew up. ๐
Been a wild, blessed ride so far and I am grateful! ๐
Devs, pls check it out & share! ๐ฅ๏ธ๐ค๐ฅ๐ค
Kwenye kujenga familia yako hakikisha unatengeneza mshindi (successor ) wa familia yako ..!!!
Jamaa kabadilishana Toyata Crown na Nyumba baada ya wazazi kufariki ๐คฃ๐ค
Kazi Ipo ๐ด
@SaumuYanga@Adventure_36 Jeshi la Polisi ni chombo cha umma, linajengwa na wananchi.
Ni wajibu wao kama jeshi kuhakikisha linatoa taarifa za wazi ikiwemo hili la ajira.
Kuna vijana wako mtaani na wameshapitia mafunzo ya JKT. Hii inawafanya nao kuwa na sifa kwenye nafasi hizo zilizotangazwa.
@gcom_Material @PJN77777@jjmnyika@ChademaTz@lutherakyoo@kaisari_philipi@Enemy_19 Sidhani kama kuna hate, bali shida ni viongozi tunaochagua watuwakilishe wanafeli kwenye kuchagiza maendeleo.
.
Mfano juzi mbunge wenu kashauriwa hadharani kwamba ahudhulie vikao. Mkianza kushughulika na hao wawakilishi wenu basi nadhani maendeleo yatakuja.
@KennedyMmari 1.Wavuvi wa baharini waki wezeshwa boti za kisasa mahususi kwa uvuvi.
2. Masoko ya samaki yaongezwe kwa sasa wachuuzi wengi wantegemea soko la Ferry.
3. Soko la ferry liboreshwa na kupanuliwa kama itawezekana.
@99Zaburi I think they wish to do so ila ukicheki legal and regulatory frameworks za bongo tu unachoka.
Hapo bado hujapambana na factors zingine.
Ndiyo maana tech investors wengi wanakimbilia Kenya.
@EdwinFweni Hass are best for Guacamole, Avocado spread na mayonnaise.
Ni Muda sasa tuwekeze kwenye kufanya processing ya the listed products for export.