Kocha wa zamani wa Simba SC, Didier Gomez da Rosa ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ain FC inayoshiriki ligi kuu ya Falme za Kiarabu (UAE)
Mbali na Simba SC Da Rosa amewahi kuvitumikia vilabu vya Rayon Sports, Horoya AC FC na timu ya Taifa Mauritania.
#KitengeSports
#BREAKING: Ndege ya Precision Air imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera asubuhi hii ambapo Mashuhuda wanasema ajali hii imetokana na Ndege hiyo kupata hitilafu wakati ikitua, AyoTV tupo eneo la tukio na tutakupatia taarifa kamili. #MillardAyoBREAKING
GOODBYE HOME ndo jina la mchezo wetu wa kesho
Wachezaji wanawaaga mashabiki, mashabiki wanawaaga wachezaji na viongozi tunawashukuru mashabiki
Umekua ni msimu mgumu kwetu lakini tulisimama imara pamoja
Mwana Simba, kesho ni Festival ya kuagana na burudani ya muziki itakuwepo