@nssftz Hii miradi isiyo na vision imemaliza pesa kwa mashirika na ndo sababu kuu ya kushindwa kulipa watu mafao, kwasababu tayari pesa hawana ndo wanakuja na zile habari za kubadili vikokotoo na kuondoa fao za kujitoa kwa hiari....haya ni majangiri tu kama majangiri mengine
Kimenukaaaaa, wauwaji hawana pa kupumulia, nje ya nchi wamekaliwa kooni, ndani ya nchi wamekaliwa kooni.
Watanzania haki itapatikana, one way or another cha msingi hakuna kukata tamaa na hakuna kurudi nyuma……
Serikali ya Tanzania imepewa siku 30 na Kikundi cha Mawaziri cha Jumuiya ya Madola (CMAG) kutatua suala la kuzuiliwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa na kisheria, na kuwaachia huru watu wengine wanaoshikiliwa kwa sababu ya kutumia kile kilichotajwa na Jumuiya hiyo kama haki zao kwa amani.
Maelekezo hayo yametolewa Julai 10, 2026 katika mkutano wa pamoja wa dharura wa CMAG ulioambatana na kutolewa tamko hilo ambalo limetaka pia kufanyika kwa jukwaa la mashauriano linaloshirikisha vyama vyote vya siasa Tanzania ndani ya siku 90 ili kujadili mageuzi ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, masuala ya mahabusu na uwajibikaji, na ndani ya siku 60 irejeshe uhuru kamili wa matumizi ya mitandao ya kijamii.
CMAG pia imeamua kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ajenda yake rasmi, ikisema pamoja na hatua chache zilizopigwa tangu maamuzi ya mkutano wake wa Desemba 5, 2025, bado yapo maeneo muhimu ambayo hayajatekelezwa. Kikundi hicho kimetaka kuondolewa kwa vikwazo vinavyohusu uhuru wa kukusanyika, kujieleza, shughuli za asasi za kiraia na vyombo vya habari, kufanyika kwa mazungumzo ya kisiasa kati ya vyama, pamoja na kuwepo kwa uwajibikaji kwa wahusika wa matukio ya vurugu na fidia kwa waathirika pale inapostahili.
Hata hivyo, Serikali ya Tanzania kupitia kauli za viongozi wake wa ngazi ya juu imekuwa ikisisitiza mara kadhaa kuwa haiwezi kuingilia mwenendo wa shauri la Tundu Lissu kwa kuwa suala hilo liko mahakamani, wamekuwa wakieleza kuwa Tanzania ni nchi huru na yenye mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake ya ndani hasa utawala wa nchi, utekelezaji wa sheria na masuala ya ndani ambayo yanaendeshwa kwa mujibu wa Katiba na sheria za Tanzania, bila kushinikizwa au kuamuliwa na mataifa au taasisi za nje.
Tamko hili limejiri baada ya mkutano huo kupokea ripoti ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola kuhusu ziara ya Mjumbe wake Maalum nchini Tanzania, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera (Rais mstaafu wa Malawi) ya mwezi Aprili, 2026. Wakati wa ziara hiyo, Chakwera alikutana na Rais Samia Suluhu Hassan, viongozi wa Serikali, viongozi wa vyama vya siasa, wawakilishi wa asasi za kiraia, viongozi wa dini, Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi wa Oktoba 29 pamoja na wadau wengine.
CMAG imekubali kukutana tena kwa dharura mwezi Septemba 2026 kupokea ripoti ya maendeleo kutoka Tanzania. Katika mkutano wa Novemba 2026, CMAG itafikiria kuchukua hatua zaidi iwapo hakutakuwa na maendeleo yaliyotarajiwa.
Aidha CMAG imesema Jumuiya ya Madola iko tayari kutoa msaada wa kiufundi kwa maombi ya Tanzania na itandelea kushirikiana na Umoja wa Afrika (AU), SADC, EAC, na Umoja wa Mataifa (UN).
💣🚨 Jude Bellingham on why he went straight to Erling Haaland after the final whistle.
🗣️ “The first person I wanted to see after the match was Erling.”
🗣️ People see rivals for 90 minutes. I see my brother. I saw him standing there carrying the disappointment of the result, and I knew exactly how he was feeling because I’ve been there too.”
🗣️ That’s why I walked straight over to him. Not for the cameras or the headlines, just to remind him that one result will never define who he is.”
🗣️ We shared unforgettable moments together at Dortmund. We pushed each other every single day, celebrated together and grew together. That kind of bond doesn’t disappear because we’re wearing different national team shirts.”
🗣️ I told him to keep his head up because he’s still one of the best players in the world. The way he fights for Norway, the sacrifices he makes and the passion he shows for his country deserve nothing but respect.”
🗣️ Tonight we were opponents. Tomorrow, he’ll always be my brother. I’ll always have his back, just as I know he’d have mine.”
#NORENG
@ikulumawasliano Anasema kapunguza magari kwenye misafara yake Ila hizo kenge zote zinaenda airport kumpokea kila mmoja na gari yake. Aloturoga sio mwanadamu mwenzetu 🙌
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa masilahi binafsi huku wananchi wakiendelea kuumia kutokana na gharama kubwa za dawa.
Akichangia hotuba ya Wizara ya Afya Mei 11, 2026 bungeni jijini Dodoma, Shabiby amesema yupo tayari hata kupelekwa Kamati ya Maadili ili kuwataja wabunge anaodai wanahusika katika kuchelewesha na kukwamisha uwekezaji wa viwanda vya dawa hapa nchini.
Mbunge huyo amesema suala hilo ni kubwa na hatari zaidi kwani linaathiri moja kwa moja maisha ya Watanzania, akisisitiza kuwa kuanzishwa kwa viwanda vya dawa kutapunguza gharama za matibabu na kuongeza upatikanaji wa dawa muhimu nchini.
@420Cousin Hizo geopolitics hamkuwa mnazijua kipindi ngoma ipo kwetu, mmeijua baada ya kupoteza mradi. Machawa ni wasenge sana nchi, mnatumika kama nyasi za kuchambia kueneza uozo wa wasenge wenzenu mnaowalamba miguu kwa viposho vya msimu.
Nitakujibu kwa kituo
1. Nimeshanga mchumi kama wewe kusahau kitu kimoja muhimu kuhost refinery ya 650k bpd siyo tu heshima ya kuwa mwenyeji ni deni, kuna guarantees, market obligations na geopolitical presha usisahau exposure ya miongo kadhaa ya uwekezaji ulipe.
- Huu ni uwekezaji wa sekta binafsi. Ni FDI. Deni linatoka wapi? Market obligations gani? Geopolitical pressure ndio unayopata sasa inayopaswa kukusukuma kukaribisha uwekezaji huu. Hii inaonyesha kuwa umeandika tu bila kujua umeandika nini.
2. Kwenye refinery ya Mombasa huyu Dangote atatoa wapi mafuta? Kama ni Hoima crude ya Uganda tayari direction yake kubwa ni kupitia EACOP kwenda Tanga kwa export. ndiyo maana Tanzania ina leverage kubwa hapo. Tuna makubaliano pia ya refinery usisahau.
- Mafuta unayonunua Tanzania yanatoka India. India wanazalisha mafuta? Wananunua crude duniani wanasafisha na kukuuzia wewe. Mafuta yanayopita EACOP ni ya Tanzania? Ni mafuta ya TOTAL anaweza kumuuzia Dangote mombasa na akasafisha akakuuzia wewe refined ones. Kwenye EACOP wewe ni msafirishaji tu. Ukiwa na refinery Tanga maana yake unaongeza thamani yako kwamba unasafirisha na unasafisha. Huwezi kuliwaza hata hili?
Kuimport crude kutoka Middle East au Nigeria gharama za logistics, shipping na kupanda na kushuka kwa bei ya Dunia zinaongezeka. Kenya inakwenda kujenga refinery ya imported crude ambayo si faida kwa yoyote yule. shida tumebabaika na uwekezaji wa jina la Dangote huku tukiuacha mnyororo wa value chain nje.
- India unakonunua mafuta yako sasa hawachimbi mafuta. Wananunua kote duniani. Hii hoja unairudia rudia ilhali haina maana yeyote ile.
Hoja hapa ni kwamba Tanga ndio sehemu sahihi kimkakati kujenga kinu cha kusafisha mafuta. Kuachia uwekezaji huo ni upumbavu!
@420Cousin@zittokabwe Akili ya kuwaza unaonekana unayo lakini unawaza huku dudu la CCM likiwa limezama ndani, lichomoe ili uwaze kwa usahihi sio kwa influence ya utamu wa dudu ulozamishiwa. Ninyi watu mnashiriki kuimaliza nchi kwa viposho lakini after mabwana zenu kutoka madarakani tutalia wote.
@420Cousin Unatombwa wima, huu ujinga wenu na ulafi ndio umekosesha Tanzania huu mradi. Samia anaizika hii nchi mamaee na masenge kama haya yanafurahia tu viposho vya muda mfupi.