Ardhi haisemi uongo — inalipa kile ulichopanda
Buti zangu chafu ni ushahidi wa jasho na bidii. Hakuna cha bure duniani — kila kitu kinahitaji kazi. 🌱👢 #Kilimo#KaziNiKazi#MaishaYaKijijini
Ardhi haisemi uongo — inalipa kile ulichopanda
Buti zangu chafu ni ushahidi wa jasho na bidii. Hakuna cha bure duniani — kila kitu kinahitaji kazi. 🌱👢 #Kilimo#KaziNiKazi#MaishaYaKijijini
@kenafricx21 Kabisaa 📌
Kwanza ukimwi ni wa kugusa then watu wazima tena wazee wanakula watoto wadogo sana na kukuta dogo wa form 1 ana mimba ni vitu simple
Mambo ya mahusiano yako. Mambo ya ndoa yako. Mambo ya familia yako. Mambo ya watoto wako. Mafanikio yenu na hatua nzuri mnazopiga kimaisha.
KAMWE USIYAANIKE mambo hayo mitandaoni.
Mitandaoni kuna uchawi mwingi na wachawi wengi kuliko mtaani. Nasema.
Unless tenki lako la maombi limejaa na imani yako katika Yesu imeizidi ile ya Mtume Paulo, funika mambo yako na ya wale uwapendao dhidi ya mitandao.
Huku mitandaoni hubiri injili tu. Tangaza habari njema.