Kila mtu alipaswa kujua ABC za umeme, maji, rangi, selemala, makenika na electronics kama vitu vya lazima.
Unafaa kua ujuzi ambao binadamu aliyepita shule anao.
@kalage_jr Kuna Hizi Perfume Nzuri Sana Kwa Mwanaume inabidi atafute moja kati ya hizi atakuja kunishukuru baadae
1. Club de nuit
2. Creed Aventus
3. Tomford Ombre Leather
4. One Million
5. Gentleman Society Givenchy
6. Gisada Ambassador
7. 9 PM
8. Reserve
9. Now intense
10. Asad
Majiπ¦ β Kwa Ajili ya Figo!
Mayai π₯β Kwa Ajili ya Ubongo π§ !
Carrotsπ₯ β Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi πβ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage π₯¬ β Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango π₯ β Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi β Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya π₯ β Kwa Ajili ya Afya ya Moyo π«!
Mazoezi exerciseποΈ β Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani π₯¦π« β Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha π β Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost π β Kwa Ajili ya Wengine!