Je wajua Meli kubwa zaidi duniani, Icon of the Seas, ina urefu wa mita 365 na uzito wa tani 248663. Ina uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 7,600 pamoja na wafanyakaz zaid ya 2300. Meli hii n kam mji unaoelea baharini, ikiwa na mabwawa ya kuogelea, migahawa, bustani na maeneo mbalimb
Je wajua Meli kubwa zaidi duniani, Icon of the Seas, ina urefu wa mita 365 na uzito wa tani 248663. Ina uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 7,600 pamoja na wafanyakaz zaid ya 2300. Meli hii n kam mji unaoelea baharini, ikiwa na mabwawa ya kuogelea, migahawa, bustani na maeneo mbalimb
MAMA YENU MZIMA KWELI HUYO?!
Unakuja kutuambia unaunda Tume kuchunguza, alafu mnakuja kwetu tena kukabidhiana matokeo, huku mkijipigia makofi, alafu Unatukoromea “HII NI RIPOTI YANGU”… ?!
Sasa kama ni ripoti yako, sisi mnatuhusisha nayo ya nini? Kwanini mfanye broadcast kwenye public media? Si mngepeana kimya kimya? Kwanini Tume inakuja kujieleza kwenye press conference? Kwanini mnalazimisha tukubaliane nayo?
I tell you what, YOU ARE RIGHT… RIPOTI NI YAKO!! Sio Ripoti ya WANANCHI, Sio Ripoti ya UKWELI, Sio Ripoti ya UWAZI, Sio Ripoti ya UHALISIA, Sio Ripoti HURU na Sio Ripoti ya HAKI.
Kulikuwa hamna haja ya kutukumbusha kuwa Ripoti ni yako, maana tulifahamu toka mwanzo na hakuna mtu alikuwa na shida na Ripoti Uchwara!! Ila Ukitumia Fedha za wananchi (walipa kodi) lazima rekodi ziwe public ili tuhoji matumizi ya rasilimali zetu.
NDIO, Ripoti ni yako sababu; Umeiunda Tume wewe, kuweka wajumbe wewe (hadi ambao wana “conflict of interest”), kuipa hadidu za rejea zako (sio za Wananchi wala za kujua Ukweli na Uhalisia), kwa malengo ya kujisafisha na kujiengua kwenye Tuhuma (ingawa iko wazi ni muhusika mkuu), na pia kwa lengo la kutaka kuwaangushia jumba bovu wasio na hatia.
THERE IS NO REPORT THAT CAN CLEANSE & SANITIZE THE ATROCITIES YOU HAVE COMMITTED, CAUSE THERE IS NO SANE, RATIONAL & LOGICAL HUMAN BEING THAT CAN BUY THE BULLSHIT YOU ARE TRYING TO SELL.
Kaa na Ripoti Yako, Sisi tunataka A FREE, TRANSPARENT, UNBIASED INTERNATIONAL COMMISSION OF INQUIRY… Until then, MTAJUTA KUTUSOMESHA.
The Leader
Thanks for your support 🙏
I'm happy to share i just reached 500 verified followers ✌️💪
Now it's your turn, drop your @handle 👇 👇 for 500 followers let's support you massively.
Follow and support anyone who repost this.
You never grow on X alone, let's support each other❤️