@HildaNewton21 Lakini Hilda. Nyie si ndo mlimsema Magufuli sana, Nyie ndo mlimsema Polepole sana, kwanini leo mnawasifu? Hamuoni kuwa ipo siku mtamsifu Samia pia kwa sababu mliowasema mwanzo leo hii mnawasifia? Tuambieni, huwa mnatetea watanzania au mpo kutafuta umaarufu wa kisiasa tu? Ni njema
Applications Now Open!
As of 14th October 2025, the application window for the Mastercard Foundation Scholarship at the University of Edinburgh is officially open!
π Deadline: 21st November 2025
If youβre passionate about making a positive impact and meet the eligibility criteria, donβt miss this incredible opportunity to study at one of the worldβs leading universities.
π Interested applicants are encouraged to apply early.
https://t.co/mv74Ldm6w4
βTumeingia Simba sababu ni timu kubwa Afrika, ni timu ambayo inajulikana pande zote za bara hili na hilo ndio tunaangalia zaidi kwenye biashara. Tulikuwa tukiifatilia kwa miaka karibu sita lakini sasa imekuwa kweli. Tunafuraha kufanikisha jambo hili.β- Mkuu wa Udhamini wa BetWay Afrika, Jason Shield. #NguvuMoja