Leo ndio siku ya Kuandamana kama kwa Nguvu kubwa zaidi ya siku zote
Mapambano yanapozidi kuwa Magumu,Wagumu huwa Wanaendelea
Kazi tuliyo ianza sasa tunakwenda kuiendeleza mara dufu
Repost 360
Tulipowaambia watuachie nchi yetu walituona wapuuzi kama wao. Oohh watz hawawezi kuandamana. Pumbavu zao kipindi hiki Gen-Z tumewaonyesha sisi sio wale wanaowasomba kwenye malori
TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA
✍️ Reply handle yako hapa
✍️ Like handle zilizowekwa na watu
✍️ Mtu aki like handle yako mfollow
✍️ Mtu akikufollow follow back
✍️ Nifollow mimi @Njamasi__
Kwa pamoja tutafika 10K, 👇👇
Pedri kila anachokifanya uwanjani mpira unamtii na kumsikiliza yeye ila Arder Guler yeye kila mechi anauwakika wa kukupa Assist au Goal, utachagua wewe sasa apo. 😃