@AfricanoGooner@EliabuDanford Kiufupi umekwama kuthibitisha uungu wa https://t.co/tpcHhAYLCG wewe hata wakuu wako hawawezi.Mnaogelea kwenye mipango ya NICAEA MWAKA 325 yaaaaaaaaaani!
@AfricanoGooner@EliabuDanford Imetolewa hoja hapo eti kama mtu anaamini kama jini linaweza kuvaa mwili kwa nini asiamini Mungu kuvaa mwili?Ndio na sisi tunauliza sasa.KAMA MWANADAMU AKIWA KIONGOZI MFANO RAISI ANASEMA MIMI NDIO RAISI VIPI YESU AWE MUNGU ASHINDWE KUSEMA YEYE NI MUNGU?Aliogopa nini?
@AfricanoGooner@EliabuDanford Kuna watu humu anatamba na kujinasibu kwa ujasiri kabisa kuwa yeye ni mchungaji.Vipi wewe mchungaji una ujasiri kujitambulisha halafu Mungu Yesu alishindwa kujitambulisha?
@AfricanoGooner@EliabuDanford Haya maneno kwamba alivaaa mwili au Yesu ni Mungu.Angalau basi angesema mwenyewe Yesu basi.Hakuna sehemu kwenye bible Yesu amesema kuwa yeye ni Mungu au Mungu amevaa mwili wake.Kama ipo tuwekeeni ubaoni hapa.
@EliabuDanford Hayo maelezo yooote.Ukija kwa Hawa pia alitoka ubavuni kwa Adam hakukuwa na mchanganyiko wa mbegu za mume na mke hapo.Kwa hiyo Hawa nae atakuwa ni Mungu wa ngapi huyo?
@EliabuDanford Cha kushangaza sasa.Yani kadiri uislamu unavyozidi kupigwa vita na kupakaziwa uongo wa kila aina eti ndio dini inayokua na kuenea kwa kasi https://t.co/08MCbl3iCn sawa na kujaribu kuliziba jua kwa ungo.
@EliabuDanford Lakini pia umeandika kutokana na hisia zako pasi na ushahidi.Madai kama hayo ukiyawekea na ushahidi hoja yako ingekuwa angalau na maana sana.Tuambie ni nchi ipi imedai hayo uliyoeleza.Usituletee maneno ya makundi ya kigaidi ambayo waasisi wake wanajulikana.Taja nchi.
@EliabuDanford Na wale wanaowawekea watu vikwazo kwa sababu wanapinga ndoa za jinsia moja (matendo ambayo waliangamizwa watu wa Sodom) unawaunga mkono au na wao unawachukuliaje?Jibu kichungaji.
@takadini_23 Kwa hiyo wachina wametawaliwa na nani maana na kule kuna waislamu na wakristo pia kama kigezo ni mpaka utawaliwe ndio uupate uislamu au ukristo.
@HabiibYahyaa Mnatuchanganya sasa.Ukisema Trump ni agent wa ibilisi.Kwa hiyo agent wa ibilisi ndio amefanya (kwa mujibu)huyo Pop kuwa Pop sasa.Sasa sijui ni vipi!!!
@Lamechlee7@OmmyOshea@assengajrr Kwenye biashara faida yake inatokana na kuuza bidhaa au huduma kwa bei ya juu tofauti na bei au gharama uliyotumia kwenye kununua au kuzalisha bidhaa au huduma hiyo.
Twende kwenye riba sasaaaaaa.....Mfano Nakukopesha buku utarudisha buku jero au vipi!!!!
@Elsukay0 Umeandika kiujumla sana.Ilitakiwa uainishe ilipokuwa wanatawaliwa walikuwa na dini zipi kisha wakoloni waliwaletea dini zipi wakaziacha dini zao?