Catholic|Fond of Philosophy, History, Theology, Science, Chelsea,Chess and Classical music. Quantum_Physics_theorist and a Physics_Biology Teacher.{Χριστιανός}.
KISA HIKI CHA KUFIKIRIKA KIMEANDIKWA NA MWL. MAXIMILIAN LUDOVICK; IKIWA NI SHULE MUHIMU KWA KIJANA WA KITANZANIA ALIYEAMUA KUISHI KWA MAAMUZI YENYE KUHUSISHA TUMBO PEKEE BADALA YA AKILI
(SOMA KWA UMAKINI ILI UELEWE VYEMA)
Jackson na Zulfa ni wafanyakazi mahili, hasimu na wenye ushindani mkubwa katika kampuni tanzu ya usafirishaji inayomilikiwa kwa ubia wa hisa za wajumbe 60 waliomo katika bodi ya wakurugenzi; Jackson akiwa mkuu wa idara ya mawasiliano na Zulfa akiwa mkuu wa idara ya manunuzi.
Kama sehemu tu ya kuongeza na kuutanua wigo wa ufanisi wa kampuni kiutendaji, BODI ikaamua kutangaza nafasi moja ya uteuzi itakayochukuliwa na yeyote aliye bora zaidi kati ya wafanyakazi hao wawili (Jackson na Zulfa), huku jukumu msingi la yule atakayepewa nafasi hiyo likiwa ni kuzisimamia kwa UAMINIFU mkubwa biashara na shughuli zote za kampuni kwa niaba ya wajumbe wa bodi.
Siku moja kabla ya mshindi wa nafasi hiyo kutangazwa, Zulfa alifanikiwa kupata taarifa ZA KWELI zinazo muhusisha Jackson na ubadhilifu MKUBWA wa rasilimali za taasisi, ndani kwa kipindi CHOTE ambacho alikuwa akihudumu kama mkuu wa idara ya mawasiliano kwenye kampuni hiyo.
AKIWA na lengo la KUIBOMOA AJIRA na KUIONDOA nafasi ya HASIMU wake katika UTEUZI, Zulfa akaamua kuwashirikisha baadhi ya wajumbe wa bodi juu ya uwepo wa taarifa hizo, jambo ambalo lilimfanya JACKSON si tu apoteze nafasi ya uteuzi mbele ya MASHINDANI wake, bali pia AJIRA pekee aliyokuwa AKIITEGEMEA hapo mwanzo.
MASWALI KWA MSOMAJI
1. Je haikuwa sahihi kwa Zulfa kuuripoti udhalimu wa JACKSON ati kwa sababu tu maamuzi yake yalijengwa juu ya msingi wa TAMAA BINAFSI ambayo apparently haikubeba NIA NJEMA kwa kampuni?
2. Je ni kweli kwamba wajumbe wa bodi walikosea kumuhukumu Jackson kwa kutumia hoja TATANISHI iliyotoka kwa CANDIDATE ambaye kimsingi ni MSHINDANI na HASIMU mkubwa wa mshukiwa?
3. Kwani ni kipi ambacho kilipaswa kuwa na UMAANA zaidi KWA WAJUMBE WA BODI wenye kuyaweka mbele manufaa ya kampuni; JE ni UKWELI halisi wa HOJA iliyotolewa na Zulfa dhidi ya Jackson, au NIA halisi ya mtoa HOJA?
4. Je Anguko la JACKSONI li kosa na hatia ya nani kati ya hawa wawili; JE ni Jackson aliyejihusisha na ubadhilifu wa rasilimali za kampuni, au ni Zulfa aliyesambaza kwa wajumbe wa bodi taarifa za ubadhilifu wa mali za kampuni, jambo lililopelekea anguko kuu la hasimu wake?
HITIMISHO KUTOKA KWA MWANDISHI
1. TUJENGE TABIA ya kuzipima HOJA pasi kusombwa na mtego wa kuzipima NIA za watoa HOJA; na
2. TUJIFUNZE kuzijadili HOJA pasi kusombwa na mtego wa kumjadili zaidi mtoa HOJA.
🇹🇿UCHAWA SIO DILI🇹🇿
Mwl. Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha 🙏🏿 ✊🏿.
@MO29TV Hivi ni nani hapo mwenye nguvu ya kumzuia huyo anayejulikana kama rais wa serikali ya JMT kuongea chochote atakacho ndugu yangu? Je umesahau kuwa kupitia katiba ya JMT, rais wa serikali ya JMT amepewa hadhi ya umungu usioweza kuzuiliwa na mamlaka yoyote ndani ya serikali?
It's quite very simple to comprehend the reality behind this mchezo.
Hivi kati yetu sisi ambao tukiziinua sauti zetu mbele ya mamlaka kudai haki, tunaishia kuvunjwa miguu na kupigwa risasi za moto, NA yeye ambaye hulindwa na maafisa nane, tisa, kumi wa TISS kwa mkupuo, huku akipokea saluti ya heshima na utii kutoka kwa mkuu wa majeshi; ni nani haswa aliye katika nafasi bora na salama zaidi ya kuipigania Katiba mpya?
Mwl. Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha 🙏🏿✊🏿.
Kabla hamjamshangilia “shujaa” Nchimbi kwa kumkataa Rais wake na “kuungana na wananchi” kudai haki na katiba mpya, nawakumbusha pia shujaa Samia “alimkataa mbabe Magufuli na kuamua kumtembelea Lissu Nairobi.”
Yesu alisema tuna macho lakini hatuoni, tuna masikio lakini hatusikii.
It's quite very simple to comprehend the reality behind this mchezo.
Hivi kati yetu sisi ambao tukiziinua sauti zetu mbele ya mamlaka kudai haki, tunaishia kuvunjwa miguu na kupigwa risasi za moto, NA yeye ambaye hulindwa na maafisa nane, tisa, kumi wa TISS kwa mkupuo, huku akipokea saluti ya heshima na utii kutoka kwa mkuu wa majeshi; ni nani haswa aliye katika nafasi bora na salama zaidi ya kuipigania Katiba mpya?
Asante sana baba Askofu Kibozi. Kuna jadi holela inayoibuka siku hizi ambayo kimsingi inatishia uharibifu wa maana na essence halisi ya ibada ya Misa Takatifu.
Ibada ya Misa Takatifu sio platform ya watu kusheherekea tu na kuzifurahisha nafsi zao KWA KUZIINUA JUU ya kusudi halisi la Kanisa lenye kubeba moyo thabiti wa ibada. Badala yake ni nafasi ambayo kwayo muumini anapaswa kuishusha nafsi yake, kuvizika vionjo vyake vya mwili ili roho yake iunganike na Mungu katika ibada. Kwa bahati mbaya sana, siku hizi waamini tunataka kuifanya Liturjia iliyo moyo wa ibada Takatifu, iwe submissive to our personal interests and bodily flavors. Ndio maana utaona;
1. wanakwaya wakitamani Liturjia iifanye ibada ya misa Takatifu kuwa sehemu ya wao kuperform their virtuosic art of singing, badala ya kuwaongoza waamini katika ibada kupitia nyimbo zenye kuamsha roho ya kiibada.
2. Walei mashuhuri wakitamani Liturjia iwapatie nafasi ya kusimama katika mimbari na kuhubiri, ili tu waonekane wao kuwa ni bora zaidi kuliko mapadre walio makuhani halisi wa Bwana.
3. Viongozi wa kamati tendaji parokia na vigango wakitamani Liturjia iwapatie nafasi ya kuonekana kwa umashuhuri zaidi as main men and women amidst the whole congregation.
4. Matajiri wakitamani Liturjia itoe nafasi kwa sadaka na majitoleo yao kutajwa hadharani mbele ya hadhira ya waamini.
5. Washiriki wa Ibada wakitamani Liturjia iwapatie nafasi ya kuivika miili yao kwa mavazi yoyote wayatakayo. Hapa ndipo utaona mtu anaspend zaidi ya lisaa zima mbele ya dressing table aikuandaa zaidi uso badala ya roho yake kwa ajili ya Ibada.
Mwl. Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha 🙏🏿✊🏿.
@BIDDALMASK@JamiiForums Tunahitaji proper system iwe employed katika taifa linalothamini uwajibikaji wa viongozi na raia kwa ujumla. Hakuna mwanadamu yeyote mwenye mamlaka asiyeamini katika uwajibikaji ambaye atakubali kukaa chini na kudesign mfumo ulio bora.
Kijiwe kinachofuata.
1. Alex Scott au Wharton au Bruno Guimares (mtachagua wenyewe)
2. Lacroix
3. Diogo Costa
4. Fundi Kerim Alajbegović au Fundi Mika Godts.
NOTE: Wewe tia pua, sisi tunanunua🤣🤣.
Uhuru wa kuhadhiri upo wapi sasa? Yaani muhadhiri wa political science anatuhumiwa kuwa gaidi simply kwa kulecture tu ukweli juu ya hali halisi ya kisiasa hapa nchini kwa wanafunzi wake!! Je serikali hii inataka wahadhiri wa siasa wafundishe pathology kwa wanasiasa tarajali waliopo vyuo vikuu?
Uhuru wa kuhadhiri upo wapi sasa? Yaani muhadhiri wa political science anatuhumiwa kuwa gaidi simply kwa kulecture tu ukweli juu ya hali halisi ya kisiasa hapa nchini kwa wanafunzi wake!! Je serikali hii inataka wahadhiri wa siasa wafundishe pathology kwa wanasiasa tarajali waliopo vyuo vikuu?
Regardless of the flaw kwenye makadirio yake ya fuel inayoshabihiana uwiano dhahiri wa fuel consumption tarajali, still kwangu huyu ndio mwanafunzi sasa aliyejifunza na akaelewa alichojifunza. But utashangaa mwanafunzi competent kama huyu anascore matokeo dhaifu compared tu mwanafunzi aliye dhaifu in competence. The current system of examining our students does not necessarily assess or identify what the country ought to recognise as true excellence.
Najua mtu anaweza kuja hapa na kusema kuwa kiingeleza chake na presentation yake pekee ndivyo vimembeba, but ikumbukwe kuwa language mastery ni ishara primary kabisa ya cognitive excellence ya mnyama yoyote aliye hai duniani. That's what differentiates us human beings from other animals, consequently smarter human beings from merely smart ones ndugu zangu.
Mwl. Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha 🙏🏿✊🏿.
@FabrizioRomano Kijiwe kinachofuata.
1. Alex Scott au Wharton au Bruno Guimares (mtachagua wenyewe)
2. Lacroix
3. Diogo Costa
4. Fundi Kerim Alajbegović au Fundi Mika Godts.
NOTE: Wewe tia pua, sisi tunanunua🤣🤣.
Kijiwe kinachofuata.
1. Alex Scott au Wharton au Bruno Guimares (mtachagua wenyewe)
2. Lacroix
3. Diogo Costa
4. Fundi Kerim Alajbegović au Fundi Mika Godts.
NOTE: Wewe tia pua, sisi tunanunua🤣🤣.
🥶😁 Morgan Rogers: “Cole Palmer has NEVER text me that much in his life”.
“He's not great on his phone! He's been great on his phone this week”.
“It's really nice for me to know that it means so much to someone else for me to be here”.
Though not the strangest one, but still kati ya fascinating concepts ambazo really zinaweza kumess up with your mind ni nadharia hii endeshi juu ya hiki ambacho quantum experts wanakinasibu kama QUBIT.
Extending the QUBIT lifetime kutoka 12ms to over 20s is really something kwa any quantum and particle physics enthusiast mwenye kufuatilia mambo haya.
Kama unahisi juhudi hii si kitu kwako, basi niruhusu nikurudishe mwaka 2012 inchini Switzerland katika mojawapo ya research facilities kubwa duniani ijulikanayo kama European Organization for Nuclear Research (CERN): Regardless of making a discovery juu ya uwepo wa Higgs boson ambayo waliweza kuisustain kwa muda wa 1.6×10⁻²⁶ seconds pekee, but still those guys waliiona na kuitambua kazi yao kama BREAKTHROUGH ya karne.
Hii si kitu ndogo hata kidogo.
Una kila sababu ya kumshukuru sana Mungu kwa kukufanya uwe hai na shuhuda wa mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa Sayansi na Teknolojia.
Mwl. Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha 🙏🏿✊🏿.
@George_Ambangil The market has been insane and has absolutely gone bonkers lately. Hebu just imagine huyu jamaa anabeba thamani ya striker ambaye ndugu zetu fulani wamemtegemea kwa msimu mzimu kama starter, plus €50m kama kifungashio kweli!!??😂😂
Sasa nimeamini kabisa kuwa kuna uwezekano mkubwa ule uvumi unaodai kwamba huyu mzee alihusika na upotevu wa mh. Humphley Polepole ni wa kweli.
Kukemea watu wasioheshimu mamlaka haramu ya viongozi wasiostahili heshima ya umma, ni ishara dhahiri ya ukosefu wa diligence na kutoamini juu ya HAKI.
As long as uchaguzi uliowaweka madarakani watu hawa uligubikwa na matukio dhahiri ya ukosefu wa HAKI, basi si HAKI pia kwa watu hawa kuheshimiwa kama viongozi wa umma wenye kinga thabiti ya kikatiba.
Sasa nimeamini kabisa kuwa kuna uwezekano mkubwa ule uvumi unaodai kwamba huyu mzee alihusika na upotevu wa mh. Humphley Polepole ni wa kweli.
Kukemea watu wasioheshimu mamlaka haramu ya viongozi wasiostahili heshima ya umma, ni ishara dhahiri ya ukosefu wa diligence na kutoamini juu ya HAKI.
As long as uchaguzi uliowaweka madarakani watu hawa uligubikwa na matukio dhahiri ya ukosefu wa HAKI, basi si HAKI pia kwa watu hawa kuheshimiwa kama viongozi wa umma wenye kinga thabiti ya kikatiba.
Kwa nini hawa watu wanaojiita viongozi wanacrave sana HESHIMA???🤔🤔🤔
Mheshimiwa Mheshimiwa Mheshimiwa, what for??
Wabunge na Mawaziri hawaridhiki mpaka utangulize MHESHIMIWA kabla ya kutaja majina yao.
Rais ndio kabisa, her excellency; mtukufu Rais.
Ili nini haswa?🤔🤔
The Catholic Church isn't and shouldn't be a place where every person has a right to express his/her own ideas or pertake in every level of decision making. The Church is essentially the body of Christ through which souls of believers including youth are guided to God; it's not a political ground for special INCLUSIONS, liberal concepts of empowerment and democracy in decision making, rather than a place of SPIRITUAL guidance built on the foundation of OBEDIENCE.
As youth, they need more of a guidance and nurturing rather seeking a chance to guide and nurture, something that can only be attained if they embrace and dearly accept the position of the Church as their guide with extremely high degree of obedience.
Assuming that a digital revolution exclusively and solely belongs to youth, and consequently arguing that the Church should entrust its leadership and decision making responsibilities primarily to them, is psychologically unsound, theologically fallacious, morally unacceptable and logically inconsistent. Current (Digital) youth need guidance more than the formerly known millennials.
Mwl. Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha 🙏🏿✊🏿