@Skinny36479503@AnnaTibaijuka Huyu ni mboga mboga, nimeona kaongelea hekima (tambua sheria haihukumu kwa hekima) pia Kenya ni taifa lingine, wana katiba mpya na wanafunzi huisoma hyo kwenye sylabus yao, mtanzania akiambiwa kaiba kuku anakubali kuwekwa jela miaka30
@Uherry14 Hapa tz kuna watu mapimbi tunawapa airtime sana, nikiuliza Kwani tofauti ya huyu na mwijaku ipo wap? Pia amechelewa kujua kwamba unaweza kuwa na uwezo wa kujenga hoja ila usiwe na uwezo wa kutetea hoja.
Game plan ilikuwa ni ya kuiogopa FAR Rabat na sio kuiheshimu! Kujilinda vile imewafanya wakaribishe mashambulizi ya mafuriko na isingekuwa rahisi kuzuia dk90 bila kuruhusu goli. Kwenye moments chache ambazo Yanga SC walishambulia hata baada ya kufungwa, walionekana ni hatari.
@TuliaAckson Waache wale na wapige vya kutosha waache wawajibike ktk ulanguzi na utekaji, kwani huyu dada na watawala wake wana umri gani? Si wamebakiza miaka 20 wafe? Ila kwa tuhuma za wananchi mutafanya wafe mapema. Kizazi dhaifu hichi we unaona hasara gan kuvumilia viongoz wadidimize nch?
@reubenpaul3@Sativa255 Ndio ili tufanikiwe tunahitaj lots of technicians ila si kwa hawa waliomaliza degree , lugha rahis serikali inapaswa kuwatengeneza vijana hususani watoto wako kwa mapinduzi ya ujira na kujitegemea.
@MfalmewaX1 Ko inawezekana kabisa kwa idara ya usalama barabarani kuweka faini zilizokuwa favourable kwa bodaboda pamoja na madereva , lakni pia kwa kuzidisha utoaji wa elimu ya usalama barabaran na sio kuwanyonya na kuwasababishia rushwa , tuijenge tanzania yenye wajinga wengi
@MfalmewaX1 Kosa la kondakta wa daladala ni moyo wa uungwana kumsaidia mama yako wew au mimi au mama yetu ambaye ni mgonjwa wa miguu (mwenye afya mbovu) na si kwamba hatambui kuwa tunashusha abilia kwenye kituo husika.
Maana ya Faini ni kulipa mali au pesa kutokana na mvurugo wa sheria
@dr_kitaa@Eng_Matarra@Sativa255 Imeonekana dhahiri umeegemea upande mmoja na kwa mapenzi binafsi kuliko kutetea hoja kulingana na muktadha na maisha halisi ya watanzania.
@Eng_Matarra@Sativa255 Watu wengi wanafikiri kwamba ww influencer ulietoa huu mdahalo kwamba haujapita A level au sisi tunaounga mkono elimu ya diploma kwamba hatujapita A level, the fact is tunajaribu kugenerate ideas ambazo kimsingi zitaenda kusaidia ktk namna moja ama nyingine ya kiutendaji zaid.