Wakute Makolo wanavyo kipanga kikosi chao, unaweza kusema wamebeba ligi back to back na wana nusu fainali za CAF kama 5 ndani ya miaka 6. Ngoja mpira uanze sasa, unaweza kusema ni vitambi noma wameamua kupunguza mafuta mwilini. 😂
Che Malone ni beki bora sana, Dibra Fernandez Kacheza vizuri KAGOMA alifanya Maxi nzengeli asionekane kipindi cha Kwanza.
Kipindi cha Kwanza tulicheza mpira mzuri.
Aliyewahi kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba sc Saidi Tuli amesema wanapaswa kukubali kuwa Yanga wamewazidi ubora hivyo na siyo kujilinganisha nao
Tuli ameongeza kuwa wanasimba hawapaswi kutoka mchezoni kwa sababu ya matokeo haya kwa sababu bado wanaendelea kujenga timu yao
Taarifa hii inapatikana katika #youtube channel yetu ya Kishamba media gusa #link katika bio yetu hapo juu
#KishambaUPDATES
🔰Kwa level ambayo wamefika Yanga ni ngumu kwa timu za hapa Tanzania kushindana nae. Nafikiri Yanga wanaweza fanya makubwa zaidi Kimataifa. Simba hawaiwezi tena Yanga wataendelea kufungwa tu.
Mlipotajiwa Ujenzi wa Gym,Viwanja Vitano, Makumbusho,hostel na Chuo Cha Maendeleo , mlishangilia kwa shangwe hadi wengine mkasimama na kuruka ruka kama Watoto walioletewa nguo za Sikukuu na baba yao 😝😝
Mwamba alipowakumbusha ili miradi hiyo yote ikamilike ni lazma Ubia wenu na yeye ukamilike,sura zikabadiika na mkanuna 😜😜
Sijui mmenuna nini sasa? Hakuna cha bure bure siku hizi ,NIPE NIKUPE !!
Hapo ni nyie Wanachama kufanya haraka kukamilisha mchakato wenu wa mabadiliko,ambao toka tumeusikia unakaribia miaka minane sasa na kila siku hadithi ni hizi hizi😜😜😜
Mpeni Asilimia zake 51 mje mumdai hyo Miradi,laa sivyo kila mwaka kwenye Mikutano yenu,mtapigwa hizo Sound na hamtakuwa na la kufanya.
Mtaishia kuchekeshwa na baadae kununishwa 🤪🤪
Na mkileta fyoko tu Kidume kinasusa 😜😜😜😜😀😁😀😜🤪🤪🤪😀
Mwanaume alimkuta mke wake na mwanaume mwingine kwenye chumba chake cha kulala.
Badala ya kumshambulia mwanaume huyo au kupiga kelele alikaa kimya tu, akarudi kwenye sebule na akaendelea kuangalia video za injili.
Mke na yule mwanaume walipata hofu.
Mwanaume aliyefumaniwa alijivika nguo na alipita kwenye sebule kisha akasema "Bro, samahani kwa kulala na mke wako." Mume akajibu, "Haina shida, unaweza kwenda."
Yule mwanaume akaondoka akiwa anatetemeka.
Mke hakutoka kwenye chumba cha kulala hadi ilipokuwa ni wakati wa kulala.
Mume alizima TV na akaenda kulala kwenye kitanda kile kile ambapo tukio lilifanyika.
Alimkuta mke wake ameketi sakafuni akilia.
Mume hakusema lolote wala kumuuliza kitu chochote. Alilala tu kitandani na kujifunika.
Asubuhi alipoamka, alimkuta mke wake amekufa. Alijiua katikati ya usiku huku mume wake akiwa amelala. Mume alikamatwa na kufungwa miaka 20 kwa kosa la mauaji.
SWALI: Nani hakuwa fair kati ya
1. Mume
2. Mke au
3. Sheria?