Leo nimeenda kwa Wakala wa NMB kutoa pesa, nilipofika nikamuambia ninataka kutoa 100,000/= jamaa akafanya mambo yake yote mpaka kiasi akajaza, nilishaazoea wengine wanakupa ki mashine ujaze.
Jamaa akajaza haraka akanipa niweke nywila huku kashikilia ki mashine hataki nikishike👇
Sex alone won’t keep a man. Feed his soul. Respect him. Be loyal. Submit to him. Talk to him. Love him. Connect. Understand him. Everything else is just noise.
Kuna siku utavuka hili jaribu na hizi shida unazopitia sasa, na siku hiyo utanikumbuka. Utakubaliana nami kuwa hakuna kilichokuwa kinatokea kwa bahati mbaya. Kila kitu kilikuwa kinatokea kwa sababu, hata vile vilivyokuumiza zaidi, hata vile ulivyoviita mikosi.
THREAD 🧵