@JabirSaleh@SteveSufi Inawezekana #mrnice akawa namba moja kuuza copy nyingi lakini album yangu SI ULINAMBIA iliuzwa kama njungu mtaani,ziko sababu ya mimi kutojua idadi kamili lakini iliuzwa zaidi kuliko album zote Africa mashariki na kati wakati huo..
Repost @salmadacotha
Huu Wimbo wakati Una Trend Mm Nilikuwa Form six Jitegemee High School Hiyoo....wewe Ulikuwa wapi????
Mb Doggmaster Uko wapi kaka ???
Na mimi nakuuliza ww shabiki yangu nawe ulikuwa wapi?
Jibu kwenye comment.
#clipvideo
"Watu wengi nakutana nao wananiambia hatukusikii nawauliza mnanisikiliza? Mimi nina wimbo mpya na Diamond baba, iweje hunisikii? Super star wenu namba 1 nina wimbo nae halafu mnasema hamnisikii?
Nilikuwa juzi Morogoro, Tanga wananiambia Chid rudi kwenye game nawaambia chukua simu yako download nyimbo yangu na Diamond ishi nao" - Msanii wa Bongo Fleva Chid Benz
Cc; @babbiekabae
Unaweza kufuatilia #Shajara kupitia YouTube channel yetu ya Clouds Media
#LiveOnShajara
Release date: May 1, 2023
It's been seven months since my songs were uploaded to all digital platforms.
Asnte kwa mashabiki ni muda mfupi lakini mchango wenu nauona.
Naomba sana muendelee kunisapoti japo bado mnanidai.
Hiki kwangu si kidogo na sivungi kujivunia.
Olds is gold.