Kuna lidude likuuuuuubwa linaitwa @tkmovement__ Lina linda maslahi mapana ya Tanzania, linasimamia Four R (4R), linalinda tunu za Nchi yetu, linatambua na kuzitangaza kazi zilizofanywa na kuendelea kufanywa na Mheshimiwa Rais Dkt @SuluhuSamia na linapita chini kwa chini. Hili lidude TK Movement ni Kama Maji, Usipo linywa utalioga kama kijana au Mwanamke wa Nchi hii. @Alice_Erasto_@HildaNewton21
Acha kupanic kijana, wewe ni mwenyekiti wa vijana wa Kanda jitahidi kuwa na kifua siyo jambo dogo unashusha mitusi buku.... Leadership ethic's matters Mjamaa. Tukionana ntakukumbusha jambo๐๐
Hata wewe siku ukihamia CCM jambo la Muhimu tutakupa kofia na T-shirt la bure.... @VitusNkuna@PatricOleSosopi @Revline_2109 @NectoKitiga waione kwenye Jalada