Believe On Your Own⏳.
Until The Final Whistle✊.
Usijitie Ucheshi Kwa Issue Serious📈.
No Emoji Kwenye Formal Talks📌.
NB: naendelea kujifunza WAKULUNGWA🙏
#TajiriLaKihaya
Sheria Mpya imetoka rasmi 📢*
GN. NO. 158C - "Electronic Transactions (Mandatory Electronic Payments)"
Iliwekwa saini 30th June, 2026 na Waziri wa Fedha *KHAMIS MUSSA OMAR*
*MAANA YAKE KWA KISWAHILI RAHISI:*
Kuanzia sasa malipo haya 9 LAZIMA yafanywe kwa *malipo ya kielektroniki* tu. Pesa taslimu/Cash haitakubaliwa tena.
*MALIPO 9 YANAYOPASWA KUWA ELECTRONIC:*
1. *Usafiri* - Basi la haraka BRT, feri, madaraja, mabasi ya mikoani, taxi za online, ndege, treni, na maegesho
2. *Malls & Burudani* - Maduka makubwa, gym, sinema, ukumbi wa mikutano, viwanja vya michezo, vituo vya mafuta, maonyesho kama Saba Saba na Nane Nane
3. *Elimu* - Ada za shule za awali, msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu
4. *Elimu ya Juu* - Michango ya vyuo na vyuo vikuu
5. *Hoteli & Migahawa* - Malazi, chakula na vinywaji
6. *Utalii* - Malipo yote ya huduma za utalii
7. *Mali* - Kupanga, kuuza au kununua nyumba, kiwanja au shamba
8. *Magari* - Kununua au kuuza gari
9. *Kilimo* - Kupitia vyama vya ushirika AMCOS kwa mazao ya kimkakati: pamba, korosho, kahawa, chai, mkonge, tumbaku + pembejeo na dawa
*VITU 3 MUHIMU KUVIJUA:
1. *Malipo ya Electronic ni yapi?* M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, HaloPesa, Bank Transfer, Card, NMB, CRDB nk.
2. *Kwa nini?* Kupunguza ufisadi, kuongeza mapato ya serikali, na kufuatilia mzunguko wa pesa
3. *Atakaeukiuka?* Biashara itapigwa faini na inaweza kufungwa
*ITAKUGUSA VIPI?*
- Ukinunua chakula hotelini > Lipa kwa simu
- Ukinunua tiketi ya basi la mikoani > Lipa kwa simu
- Ukipeleka mtoto shule > Ada kwa benki/sim
- Ukinunua mafuta > Lipa kwa card/sim
*Kwa kifupi:* Kuanzia sasa "beba pesa mfukoni" kwa malipo makubwa inakwisha pole pole
Keep asking.
Keep working.
Keep trusting.
The One who provides for the birds every morning is fully capable of clearing your debts.
Share this with someone who is asking Allah for financial relief.
Dear HR Personnel and interviewers.
Interview ni mazungumzo ya wataalam wawili (mhitaji) na (mhitajiwa).
Ni nafasi ya kufahamu taaluma na sifa za ziada za mtu kulinganisha na mahitaji ya nafasi husika (Job description).
Jamani hii sio sehemu ya interrogation au kukomoana.
Be nice
Guys, I was being a gentleman... but some Arsenal fans are getting too comfortable
You finally won the war after 22 years of banter 😂🏆
Now let's start another 50 years of banter about the Big Ears Cup
#ilovethisgame#arsenal#banter
Klabu ya Zamalek SC ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi kuu ya soka Nchini humo kwa mara ya 15 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Ceramica Cleopatra na kumaliza kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo wakiwa na alama 56.
Mabingwa mara 45 wa Ligi hiyo, Al Ahly wamemaliza nafasi ya tatu wakifikisha alama 53, nafasi inayowalazimu kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao.
Mabingwa wapya Zamalek na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Pyramids wamefuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.
FT: Zamalek 1-0 Ceramica Cleopatra
FT: Pyramids 2-1 Smouha
FT: Al Masry 0-2 Al Ahly
MSIMAMO 🔝 4️⃣
1. Zamalek — pointi 56
2. Pyramids — pointi 54
3. Al Ahly — pointi 53
4. Cleopatra — pointi 44
#KitengeSports
Nadhani tatizo ni kwamba inatizamwa kwa kuzingatia "How the End Will Be" and "Not How it happened" kuna mtu alisema "Your Future is made by Your Past" so kinachoendelea ni watu kutaka kuijua Future haliyakuwa waandaaji wanailenga Past.
Na hapa nitakuwa nimewachangannya zaidi😁
@itsdante_nrg Ready or Not 1&2
The Gates
Play Dirty
Roundup 1,2&3
Three Frontiers
Sicario 1&2
No ordinary heist
Vacation friends 1&2
Bloodhounds 1&2
Series
The Capture 1,2&3
The 100 1,2,3,4&5
BrBd 1,2,3&4
Better call saul 1,2,3,4,5&6
Gangs of London 1,2&3
Shogun
Zikiisha we nitag niongeze