@Skygrapher_255 Nilitaka kujua sana hapo ni wapi na Madini yanayopatikana.
Kwa msaada wa AI, Mwakitolyo ipo Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Vijijini. Eneo hili linajulikana kwa shughuli za uchimbaji wa dhahabu, huku Nyandolwa. Igalula na Isonda si majirani wa karibu wa Mwakitolyo.
@Skygrapher_255 Kutokana na picha ya jiwe, si rahisi kuthibitisha madini kwa uhakika.
Jiwe lina uso unaoonekana kama limeathiriwa na oksidi za chuma.
Halionekani kuwa na uang'avu wa metali au chembe za dhahabu zinazoonekana wazi kwenye picha.
Hizi ndizo taarifa zinazohitajika kushare watz
@munyamambogo yule wa dodoma shee Mustafa yupi ambae anatakiwa kutolewa.....
Tufungulie code maana nasikia anaishi kwa wasiwasi mkubwa wa kutumbuliwa wakati wwt ....
@swahilitimes I would be interested to hear the environmental organizations in Kenya are being supported by a neighboring country as part of a broader economic intelligence strategy, rather than the political intelligence objectives that many nations have traditionally prioritized.
@swahilitimes Nitafurahi nikisikia wanamazingira wda Kenya wanafadhiliwa na nchi fulani", kama sehemu ya ujasusi wa kiuchumi mbadala nchi nyingi zinazoweleza ktk ujasusi wa kisiasa
@ayubu_madenge Madai kwamba Mara nyingi gavana huchagua mke au mume wa seneta aliyefariki ili aongoze hadi muhula uishe" si sheria ya Marekani
Kisheria, gavana ana mamlaka ya kumteua mtu mwingine atakaeona anayefaa kutumika kisiasa.
@Mct0258T "Tuna TakaTaka" limetumika ku - catch attention.
Pili "Tuna Takataka" kwa uwelewa wangu lina maana ya "kila mmoja wetu amezunguwa na taka" hivyo ni jukumu lako na langu kukusanya taka na kuziweka ama kuzipeleka mahala sahihi.
@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia Huu ni mfumo ambao umeuengener
Mukatuibia mapesa yetu sisi wananchi
Sasa ni zamu yao
Ninyi ni wezi na wahuni kama wanasiasa wengine
Hamuoni athari ya wizi wenu pale Muhimbili ambao Serikali inashindwa hata kuwapa uji wagonjwa achilia chakula
Unakemea kwa kuwa uko bench
Jizi
@Thommunkondya Mjinga zaidi ni kuwatetea wale waliokasimishwa Serikali na raia ili waweze kusimamia maamuzi, mahitaji na
matakwa ya raia,
badala ya kuunganisha nguvu kuwawaribisha.
@Bendevelarian98@UN Some of these powerful members have theor interests in maintaining the current government order.
That’s why in places like Congo, Gaza, and Sudan, we keep seeing repeated statements from UN, but insufficient action on the ground.
These member states set the tone.
@Bendevelarian98@UN Any party alone will not solve much our citizens problems because all leaders are still politicians while the country actually needs real leadership. beyond partisan politics.
Meanwhile The UN reflects the interests of powerful member states,
@Bendevelarian98@UN If there is one thing Tanzanians should agree on, it is building a consensus-based system of governance, rather than fighting for a new constitution that simply allows any political party to take power.