Hey...
.
Bado Upo?...
.
Naomba unisaidie Kitu Kimoja...
.
Kama Ulisahau Ku-RETWEET Mwanzo wa Uzi Huu...basi fanya Hivyo Kupitia Link Hii Hapa Chini Kisha Follow @NyandaAmosi Ili Kupata Madini BURE Kila Siku
.
https://t.co/SIFUvcENWi
'Klabu ya Yanga ya nchini Tanzania imeandika rekodi mpya ya kucheza mechi mfululizo bila kupoteza, ikifikisha michezo 49,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na klabu yoyote kwenye historia ya soka katika ukanda wa Afrika Mashariki'
https://t.co/bRRLkcn6cD