@AdvMatata Ukraine imelia kwa muda sasa kwanini walione hili la kwetu.....
Africa kivyetu vyetu wadeal na mambo yao...
Kuna Nini nyuma ya hili, sio Kila anayemuonea huruma mtoto wa jirani basi anampenda Kuna wakati anamiss mtoto wa kumtuma maji mtoni........
Hii ilikuwa January 4, 2025 baada ya kupanda mahindi yakapigwa na jua hivyo nikapuliza dawa kuua magugu na mahindi ambayo yalifanikiwa kuota lakini sio kwa kiwango kilichostahili.....