Delighted to visit today @FeminaHip, a Tanzanian NGO, which benefited from the annual WB Community Connections Campaign. With limited funding, they are doing impressive and extensive work promoting sexual and reproductive health, economic empowerment and citizen engagement.
Mkutano wa Wadau Wanaotekeleza Afua za Vijana Balehe nchini 2024 unaofanyika Dodoma.
Mkutano huu unalenga kuchambua na kuharakisha utekelezaji wa Ajenda ya Kitaifa ya Kuwekeza katika Afya na Maendeleo ya Vijana Balehe, iliyozinduliwa tarehe 17 Aprili 2021 jijini Dodoma.
Ajenda hii inalenga kuboresha afya na maendeleo ya vijana katika mikoa 13 yenye changamoto za viashiria vya afya na maendeleo. Nguzo kuu za ajenda ni pamoja na kuzuia maambukizi ya VVU, kutokomeza mimba za utotoni, kuondoa ukatili wa kijinsia, kuboresha lishe, kuhakikisha vijana wanakamilisha elimu, na kuwaendeleza katika ujuzi na ajira.
@maendeleoyajami@OWM_SBU
#feminahip #vijana #maendeleo #afya
Unadhani unamjua @dollyrestie ? Hapana sidhani.
Alianza safari yake Dodoma na hatimaye akajipata Dar es salaam, kutoka kuanza kufanya kazi kama muhudumu wa Bar hadi kuwa Star kwenye ulimbwende akifanya vyema kwenye uigizaji kama tamthiliya ya HUBA na PAZIA lakini pia ameshiriki kama Video vixen kwenye video za wasanii wakubwa hapa nchini.
Dolly anadai mafanikio yalikuja na gharama zake pia, Unataka kujua alipitia nini full episode inapatikana kwenye Youtube channel yetu bonyeza link hapo juu kuitazama lakini usiache kusubscribe na kushare na wengine.
Jiandae kusikia Story yake HALISI.
Bonyeza link kwa full Interview: https://t.co/sUcVnxwafS
@dollyrestie
#feminahip #storyyangu
What a beauty! 😉
The best of Clatous Chama's 3️⃣ goals against Horaya AC had to be crowned with the #GoalOfTheWeek award for matchday 5🥇
#TotalEnergiesCAFCL
We were in a room full of joy and happiness , being able to hear and see success stories that was raised during celebrating 20 years of Fema Clubs. We want to thank everyone for coming, we appreciate your presence.
#femaclubs#feminahip
“Sisi kama Shiraka la Femina Hip na familia yote ya Fema tunaunga mkono kampeni ya kupinga ndoa za utotoni.” ~Mkurugenzi mtendaji wa Femina Hip Ruth Mlay
We are excited for “Binti Day”
Joining hands with all CSO’s in Tanzania to address Child Marriage by recognizing all the factors that enable it. Visit https://t.co/TUMdt2t1qi to support by pledging to end child marriage in Tanzania.
#EndChildMarriage |#NilindeKwanza
“Ndoa ni pingu yangu, ndoa imefunga maisha yangu. Kwenye umri mdogo nimepoteza haki zangu, sasa nalia na roho yangu. Maana wazazi na jamii walishindwa kusikiliza sauti yangu.”
- Tafakari ujumbe wa #Binti Rebecca Muna, ndani ya shairi kuhusu Ndoa za Utotoni | #NilindeKwanza.
“Ndoa ni pingu yangu, ndoa imefunga maisha yangu. Kwenye umri mdogo nimepoteza haki zangu, sasa nalia na roho yangu. Maana wazazi na jamii walishindwa kusikiliza sauti yangu.”
- Tafakari ujumbe wa #Binti Rebecca Muna, ndani ya shairi kuhusu Ndoa za Utotoni | #NilindeKwanza.
“Mimi tayari nimeweka ahadi yangu! Ninahimiza kila mmoja wetu hapa leo kufanya hivyo. Mfumo mzima wa Umoja wa Mataifa unaunga mkono kampeni hii. Aidha, ninahimiza kila shirika pia kuweka ahadi zao ili kumuunga mkono #Binti.” - @ZMilisic#NilindeKwanza#EndChildMarriage
#Fema62 is all about Education!!
Cover story: Frida Josephat Ernes tells us about her childhood dreams & how education made them possible.
Sema Tenda: tells us that the journey through education is never an easy but worthwhile.
Read more https://t.co/al2UAzju2s
We are proud to see @ella_naiman, our Partner: Advisory, as one of the new Board Members. We wish the new board members and the entire @FeminaHip team nothing short of success and growth 🧡