Kuweni na amani 🙌🏽
Tuneweka akaunti za Humphrey Polepole salama ili wahuni wasiweze kuzifikia! 😀
Hakuna aliyezifuta zimehifadhiwa until Polepole arudi uraianj!
Tunashukuru kampuni za mitandao zime react fasta!
Mwambieni Mafwele sasa wamwachie hawapati kitu hapo!
#FreePolepole
If today a former ambassador, a diplomat can be abducted by the State then we have a FAILED STATE!
Polepole is well known in cirlcles of power and internationally as a sober diplomat! He has committed no crime - all he did was criticize @SuluhuSamia
Her response has been #EnforcedDisappearance
Tell Samia Suluhu to #FreeHumphreyPolepole immediately!
Proved: nchi nzima hatujalala. Watu wana hasira. Wana hofu. Wana uchungu. Hatujui nani next candidate wa utekaji. All this to make someone a leader? Wtf are we going through? We need a new dawn!!
MAMBO ni Mawili tu...
Tujitoe Muhanga au Tuendelee Kuandika Maneno Twitter....
Serikali ya CCM haitajali Chochote
Serikali ya CCM haiwezi Kuleta Mifumo ya Haki kwa Kuandika Maneno Twitter....
Mambo ni Mawili tu, Tufanye Kwa vitendo au Tukaushe Kila Mtu aendelee na Maisha yake
Humphrey Polepole, a former Tanzanian ambassador and outspoken government critic, has been abducted by unknown individuals, according to his family.
https://t.co/aYFhEMzflb
Leo sitakuwa na LOKOO. Naomba tutumie nguvu yetu ya mtandao kuwaambia @tanpol#FreePolepole
Polepole ametufungua watanzania wengi kujua jinsi gani nchi yetu inaibiwa na kikundi kidogo cha watu “CCM MTANDAO”. Kumuacha pekeake bila kufanya chochote ni KUMSALITI.
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
#FreePolepole
REPOST
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemtesa sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha. Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality. Justice for Polepole.
ALERT: Watanzania, inafika muda hata vidole vyetu vinaganda kuchapisha haya maandiko. Wanajeshi wamechafukwa. Hasira yao imekuwa mbaya hasa kuhusiana na hili swala la Polepole kutekwa. Jiandaeni kisaikolojia kuna mazito yanakuja. Muda wowote mtapata taarifa nyingine toka JWTZ
Nyie watu wabaya na wakatili. Msijaribu kumuua Humprey Pole Pole , chukueni hili ONYO very serious. Najua mnapima upepo. Msijaribu, Msijaribu.
Tunalia kama taifa kuona mmoja wetu akitoweka bila maelezo. Humprey ana haki ya kuwa salama na kuishi bila mateso. Msijaribu.
Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii.
Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia.
Nawakumbusha hawa watekaji kwamba juzi Polepole alikua kiongozi mwandamizi kwenye serikali ya Magufuli.
Hakuna ambae angeamini kwamba miaka mitatu baadae atakua anawindwa kama Swala.
Power is transient, enyi watu mnaoteka mda sio mrefu mtajuta kwanini mlifanya hivi na hao wanaowatuma furaha zenu sasa zitakua vilio baadae.
Watanzania amkeni, hakuna alie salama.