@WideEdson Kaka usimpangie mtu cha kufanya, jezi kanunua kwa hela yake atafanya atakalo, hata ww unaweza kuvaa jez ya Simba ukapiga picha na kombe la muungano. Sawa
Hofu imeendelea kutanda katika baadhi ya maeneo nchini Venezuela baada ya matetemeko makubwa mawili ya ardhi kutokea ndani ya sekunde chache, huku yakifikia ukubwa wa 7.2 na 7.5 katika kipimo cha Richter.
Rais wa mpito Delcy Rodríguez ametangaza hali ya hatari nchini humo.