Today 🥶
1. Galatasaray - Liverpool
✅ → Over 1.5
2. Sheffield Wed - Watford
✅→ Over 1.5
3. Wrexham - Hull
✅→ 1X
4. Exeter - Lincoln
✅→ Over 1.5
5. Wigan - Plymouth
✅→ Over 1.5
6. Salford - Walsall
✅→ Over 1.5
7. Stoke - Ipswich
✅→ Over 1.5
8. Atalanta - Bayern
✅→ Over 1.5
9. Atlético Madrid - Tottenham
✅→ Over 1.5
10. Newcastle - Barcelona
✅ → X2
Good luck 👍
Mwanaume akicheat anakuwa hana sababu yoyote it's just happen tu na tunaweza kusema ni kama ajali tu.
Mwanamke akicheat ni plan and there must be a reason behind na kama utamsikiliza mara nyingi anakuwa n logic..
UNA MTAJI WA 500K
1: Nenda karume asubuhi wanafungua mabalo ya viatu vya watoto saa 10 kamili uwe pale wanauza 1000-2500
2: Nenda karume karibiaa na ule upandee wa mataa wanafungua brazia 1K
3: Nenda ilala asubuhi traki 1500
4)nenda kariako kuna chimbo wanauza viatu vya kike 3500
Muda unaenda haraka ukiwa umechelewa
Muda unaenda pole pole ukiwa unasubiri
Muda unakuwa mfupi ukiwa na furaha lakini Muda hauishi ukiwa na huzuni pia Muda unakuwa mrefu ukiwa huna chakufanya
Les wanyika-Kasuku
Les wanyika-Amigo
Les wanyika-Barua
Les wanyika-Sina makosa
Mbaraka mwishee-mtaa wa saba
Samba mapangala-Dunia Tunapita
King Kikii-Kitambaa cheupe
DDC mlimani-Neema
BRO TO BRO
Wewe ni mwanaume.
1. Weka afya yako kuwa kipaumbele
2. Fanya mazoezi kila siku hata kama ni kidogo
3. Amka mapema kabla ya dunia kuanza kelele
4. Panga siku yako kabla haijaanza
5. Tumia pesa kwa busara
6. Soma na jifunze kila siku upate maarifa
7. Chagua marafiki wanaokujenga
8. Epuka malalamiko yasiyo na suluhisho
9. Jenga akili tulivu na moyo wenye uvumilivu
10. Heshimu wazazi na familia yako
11. Jitegemee na simama kwa miguu yako
Kumbuka Hakuna atakayekuja kuyaishi maisha yako kwa niaba yako. Ni jukumu lako kuyajenga.
@bonifacejoseph_@shiggaJr Maisha yana options jamaa, huwezi penda kila kitu, huwezi kua kila sehemu, huwezi kua mtu wa yote.
Ndio maana kuna mtu anamwambia yeye hali ugali, mwingine anakwambia yeyehali dagaa, mwingine hali mayai, mwingine hali nyama.
Kwaio ishi na unavyovipenda.
Ukweli wa maisha ni kwamba dhoruba hazikwepeki magonjwa,migogoro ya kifamilia, uchumi mgumu,vita za kiroho au hali ya nchi kubadilika.
Hivyo, ni muhimu kujenga nguvu ya akili na hisia, kuwa na imani, na kujiandaa ndani kwa ndani ili kusimama imara hata siku ngumu zinapofika.
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
Urafiki Hauna Maana Kama Haujaunganishwa na Kazi, Urafiki wa kweli Lazima ukujenge, Ukuongezee Maarifa, Fursa Lasivyo Ni Matumizi MABAYA Ya Muda.
Unapochagua Marafiki zingatia Sana Ubora wao Na Si Idadi Yao
Tumepoteza Vingi wakati tunachagua vilivyo bora Tumeanguka sana wakati tunajaribu kunyanyuka,Na tumeumia sana wakati tunaitafuta Furaha Kuna waliotuacha na kutukataa sababu tulionekana hatuwasaidii kitu chochote,Licha ya vikwazo vyote bado tumesimama na Mungu kwenye Maisha yetu.
Mungu akikuonekania nunua a good fridge, tv, soundbar, washing machine, cooker then a good phone. Utaona vile a lot will change, ata vile unafikiria inabidilika
Some of you look calm on the outside. But inside you’re carrying family pressure, unpaid bills, and unfinished dreams.
I pray this week rewards your effort.
Kuna kipindi Mungu atakunyamazisha.
Atanyamazisha marafiki.
Atanyamazisha fursa.
Atanyamazisha hata mipango yako.
Mpaka ubaki wewe na Yeye tu.
Na hapo ndipo utaelewa kuwa haukuwa unafanikiwa kwa sababu ya uwezo wako.