@Changehero_io@SuiNetwork@ChangeHero_io This is unacceptable. My swap was canceled but you still haven’t refunded my funds. This delay is affecting my family financially and should NOT be happening. Order ID: 2nsy2oqugs15cjnd6b — please respond and resolve this immediately.
Huyu polisi hana adabu na hana busara! Kuna na viongozi wa aina hii ndani ya jeshi ni kuandaa waasi huko mbeleni !
Huyu ni wa kupanguwa majukumu mengine maana anashindwa kujua maneno anayoropoka ni maneno ya kiti chake cha u RTO sasa kuwa na RatO asiyeheshimu mamlaka ni hatari sana
@demoriento@mshambuliaji Inabidi ueleweshwe kidogo wewe, Ngoja nianze na swali askari wa jeshi la ulinzi akikupiga risasi mtaani mfano wewe atashtakiwa wapi. Mahakama za kijeshi ni kwa ajili ya wanajeshi ndani ya jeshi, kosa likitendeka uraiani mahakama za kirai zinatumika kasome Sheria upya
@AliKamwe_ Kitu ambacho Bashiru alifanya ni kurudisha Mali za ccm kutoka kwa watu waliokuwa wamejimilikisha hao wachache, huyu jamaa ccm wanamwogopa. Ningelikuwa ni Dr. Bashiru, William Lukuvi, na Kabudi ningejiunga na chama cha UDP
@HKigwangalla Sijawahi kuona watu wenye mawazo ya kujadili watu badala ya kujadili challenges zinazowakabili raia wa Tanzania. Uswahili uswahili kila wakati. Ni kweli maendeleo ya Tanzania ni reflection ya fikra ndogo kama zenu
@HKigwangalla Una mambo ya ki zamani kweli kweli, I thought you could be a little bit smart for at least a half day. Dr. Bashiru amekosea wapi na wapi uhuru wa mawazo ktk jamii. Kwa sababu unamshambulia as if ametenda kosa la jinai, Kwa nini sasa umpeleke Mahakamani.
@TheFigen_ Without a carrier no one will want you, trust me for that, so the most important thing is a carrier which will help you to secure your relationship
@HKigwangalla Kigwa,acha kutuchanganya,tuache! Tuache kabisa tuache! Umekaa serikalini vya kutosha umeshindwa kuwa wa tofauti leo hii uko nnje ya game unajifanya ooh lolo lolo! Watanzania sa hivi sio wajinga,unawala mda mrefu halafu unakuja kujifanya unawapendq dk 2 wanakuelewa,sio sasa!
@HKigwangalla Hiyo ni miradi miwili tofauti.
Siyo kazi ya Engineer. Engineer kazi yake ku design structures not to find the uhusiano wa kiuchumi wa miradi tofauti