Tunawakumbusha kua kuzikatas fursa zisizoendana na maono yako walizokuchagulia watu wanaoendeshwa na njaa ya leo ili kulinda future yako huko sio kuchagua kazi 🤔 .
NIMEKUBALI:
Baada ya KUOMBWA SANA nitoe Msaada wa KISHERIA na FEDHA kwa WANAFUNZI 17 👇 ambao wanatuhumiwa “KUGHUSHI” MKOPO WA ELIMU YA JUU, napenda kuufahamisha umma kwamba; kama MNYAMWEZI, NIMEKUBALI kuubeba MZIGO huo ili WANAFUNZI hao WARUDI SHULENI KUPATA ELIMU.
Familia za kitanzania ni Kama zina laana , wao kusapotiana na kushirikiana kwenye mambo ya kimaendeleo hawataki Ila kulogana wao kwa wao na kufelishana ndio michezo yao pendwa 🤔 .
#Elimikawikiendi