Ali Kamwe baada ya kujipata akawa analalamika alivyopokonywa demu wake Fatuma kipindi hana Mlungula, afu lijamaa lililompokonya demu sku moja kwenye simu likamfokea "We Ali mbona mgumu kuachika, demu hakutaki" 🤣
Afu kipindi hicho ndo alikuwa hivi, ningekuwa mimi hata nisingelalamika mama yenu angeniacha 🤣🤣
@tanpol naomba mjaribu kuliangalia hili suala la bajaji na daradara kupakia hivyo hivyo Barabarani bila kuzingatia vituo. Hii sio nzuri kiusalama na ni kero kubwa kwa watumiaji wengine wa Barabarani. Barabara ya Mbezi kwenda posta ni mfano mzuri.
Asanteh