Great thinkers always win💪offers IT Solutions, computer 🖥️ technician,printers troubleshoot, software seller, human rights supporter✊CVwriter✍ coddling---
Boda boda zingatia haya kupunguza hatari katka kazi ,
Hakikisha unapatana vema na abiria kabla ya safari
Pia eneo analo enda na kama atakua na kituo akwambie ujue usalama wa eneo huska
Vinginevyo ukitoka stand nyoosha mpaka aendako🫥